Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Redmi note 14 pro 5GπŸ’₯

Redmi note 14 pro 5G specifications
β–ͺ️Camera: 200Mp
β–ͺ️Storage: 256GB
β–ͺ️RAM: 8GB
β–ͺ️Battery capacity: 5110mAhπŸ‘‡

πŸ’₯Price: 880,000Tsh

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Vivo X200 Ultra siku zake zinahesabika iingie sokoni.
@Huduma

πŸ’¨Huku Vivo X200 ultra huku Oppo find 8X Pro

Kura yako kwa nani?

Oppo Find 8X Pro. Vivo x200 ultra
πŸ‘‡
@Huduma

πŸ’¨Hawa waasisi wanataka kurudi tena
Sokoni.
❀1
@Huduma

πŸ’¨Katika mwendelezo wa simu za One plus 13 series, sasa wanakuja na One plus 13T.
Uzinduzi huu utafanyika 24/04 huko China.
Hii ni baada ya kuzinduliwa kwa one plus 13 na One plus 13R.
Mwaka huu ni wa kila mtu apate.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Xiaomi Redmi A3X

(3GB RAM, 64GB ROM) - 230,000

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ†• Kampuni ya OpenAI imeanza mpango wa kutengeneza mtandao wake binafsi wa kijamii.

Inawezekana mtandao huu utakwepo ndani ya app ya ChatGPT au itakuwa ni app ambayo inajitegemea.

Itasaidia OpenAI kupata taarifa za papo kwa papo kwa ajili ya kufundisha mifumo yake ya AI
πŸ†• Sehemu ya DM katika mtandao wa X/Twitter itaitwa β€œXChat”

Baadhi ya watu wamepinga kwa sababu jina lake linafanana chats za mitandao ambayo haina maadili https://twitter.com/nima_owji/status/1910015526006616107#m
πŸ†• WhatsApp imeanza kuruhusu watumiaji kuweka video yenye urefu wa zaidi ya Dakika 1 kwenye WhatsApp Status.

WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka video ambazo zitakuwa na urefu wa sekunde 90 (Dakika 1 na sekunde 30) katika sehemu ya WhatsApp Status.
πŸ‘1