Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐— ๐—ฒ๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

Ifikapo Mwezi Mei 2025, Whatsapp itaweza kuacha kufanya kazi Kwenye baadhi ya Simu za Android na iphone.

Threads ni Yako ๐Ÿ’ก
@Huduma

๐Ÿ’จ Uwezo wa ChartGPT kugenerate picha ni mkubwa sana inafeli sehemu moja tu kushindwa kuchukua sura kwa usahihi kwa mtu ambaye sio maarufu.

Hapa nimebadili sura ya Kendrick Lamah na kuweka yangu kwa maelezo mepesi kabisa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จRedmi note 14 pro 5G๐Ÿ’ฅ

Redmi note 14 pro 5G specifications
โ–ช๏ธCamera: 200Mp
โ–ช๏ธStorage: 256GB
โ–ช๏ธRAM: 8GB
โ–ช๏ธBattery capacity: 5110mAh๐Ÿ‘‡

๐Ÿ’ฅPrice: 880,000Tsh

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Vivo X200 Ultra siku zake zinahesabika iingie sokoni.
@Huduma

๐Ÿ’จHuku Vivo X200 ultra huku Oppo find 8X Pro

Kura yako kwa nani?

Oppo Find 8X Pro. Vivo x200 ultra
๐Ÿ‘‡
@Huduma

๐Ÿ’จHawa waasisi wanataka kurudi tena
Sokoni.
โค1
@Huduma

๐Ÿ’จKatika mwendelezo wa simu za One plus 13 series, sasa wanakuja na One plus 13T.
Uzinduzi huu utafanyika 24/04 huko China.
Hii ni baada ya kuzinduliwa kwa one plus 13 na One plus 13R.
Mwaka huu ni wa kila mtu apate.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Xiaomi Redmi A3X

(3GB RAM, 64GB ROM) - 230,000

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757