Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Masimulizi haya yaliyojaa simanzi inasemekana kulitokea Ndege ndogo Tano za mareoani za duara ๐Ÿ‘พ๐Ÿ›ธ ambapo uliweza kutoa Mwanga uliopelekea watu kupofushwa

na kugandishwa ambao manusurika waliobaki walikua wawili TU bila kujeruhiwa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ญ Hii sio Siri Tena Dunia inabidi itambue ukweli kuhusu viumbe Alliens wapo kweli !!! Kuna hati ya CIA iliyofichwa miaka mingi Hatimaye imepatikana ikielezea mambo Mengi ya siri kuhusu viumbe Alliens.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Baba nipate hii tu ๐Ÿ™
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ NOTHING PHONE

โ–ช๏ธPhone 3a (12+256) - 1.25M
โ–ช๏ธPhone 3a Pro (12+256) - 1.45M

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKutengeneza picha kama hii unapakia picha na unaandika prompt kama hii hapo chini.
Unaweza modify kwa namna upendayo
Jaribu tuone๐Ÿ‘‡
@Huduma

๐Ÿ’จChatGPT hazuiliki๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Hidden App Drawer Search Tricks
โ€“ Search app kwa jina lake au function yake tu kama โ€œmusicโ€ au โ€œphoto.โ€
โ€“ Zinaonekana haraka hata kama jina husahau.
Ni search engine ndani ya simu yako.
[7/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. One-Handed Mode (Android & iPhone)
โ€“ Inapunguza screen size uweze kutumia simu kwa mkono mmoja.
โ€“ Perfect kwa watu wa mitandao ya usiku.
Settings > One-handed mode.
[6/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Scheduled Messages (Simu nyingi za Android)
โ€“ Tuma message baadaye bila kusahau.
โ€“ Perfect kwa birthday wishes, reminders n.k.
Messages > Tap "+" or Timer icon > Set time.
[11/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Safari/Chrome Tricks (Browser)
โ€“ Long press tab button kuona history.
โ€“ Swipe left/right kubadilisha tab.
โ€“ Save page kama PDF kwa offline reading.
[8/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Android Split Screen Mode
โ€“ Fungua apps mbili kwa wakati mmoja.
โ€“ Tumia YouTube huku unasoma notes au messages.
Settings > Recent Apps > Gonga icon > Split screen.
[3/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Smart Lock Feature
โ€“ Simu inafunguka tu ukiwa nyumbani, kazini au ukiwa na saa yako ya smart.
Settings > Security > Smart Lock.
Hakuna ku-type pattern kila dakika 5.
[5/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Inbuilt Screen Recorder (Android & iOS)
โ€“ Usipakue app nyingine!
โ€“ Tumia inbuilt screen recorder kwenye quick panel/control center.
Ni bora zaidi, haina watermark wala ads.
[10/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Tap Back Feature (iPhone)
โ€“ Gonga nyuma ya simu mara 2 au 3 kufanya action (screenshot, open app n.k).
Settings > Accessibility > Touch > Back Tap.
Ni kama shortcut amazing flani.
[4/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐— ๐—ฒ๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

Ifikapo Mwezi Mei 2025, Whatsapp itaweza kuacha kufanya kazi Kwenye baadhi ya Simu za Android na iphone.

Threads ni Yako ๐Ÿ’ก
@Huduma

๐Ÿ’จ Uwezo wa ChartGPT kugenerate picha ni mkubwa sana inafeli sehemu moja tu kushindwa kuchukua sura kwa usahihi kwa mtu ambaye sio maarufu.

Hapa nimebadili sura ya Kendrick Lamah na kuweka yangu kwa maelezo mepesi kabisa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จRedmi note 14 pro 5G๐Ÿ’ฅ

Redmi note 14 pro 5G specifications
โ–ช๏ธCamera: 200Mp
โ–ช๏ธStorage: 256GB
โ–ช๏ธRAM: 8GB
โ–ช๏ธBattery capacity: 5110mAh๐Ÿ‘‡

๐Ÿ’ฅPrice: 880,000Tsh

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757