Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

✔️ Itamzuia mtu asiwe na uwezo wa ku exports chati zilizopo kwenye Whatsapp kutoka nje ya Whatsapp.

✔️ Itaweza kumzuia mtu asiweze ku forward message uliyomtumia.

✔️ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Meta AI Kwenye chati zenu.
︎ Teknolojia

💨 BATO LA TRUMP NA CHINA

▪️Trump kuongeza ushuru kwa China 30% kisha 84%
▪️China nayo ikaongeza hivyo hivyo
▪️Trump akaongeza tena ushuru hadi 145%
▪️China nayo ikajibu
▪️Trump akasema Xi ampigie simu
▪️Rais wa China akagoma kupiga simu
▪️Trump akatangaza kuwa atakuwa tayari kufanya makubaliano
▪️China haikujibu chochote
▪️Trump amerudisha ushuru kama awali.
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 420K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
📐 Ukubwa wa sensor za kamera za iPhone, zikilinganishwa na sensor ya Sony
︎ Teknolojia

Kwaiyo Ndege hiyo ilikua ya Marekani inaonyesha kuwa Kuna viumbe kweli Alliens vipo ambao wamarekani wamewaficha.

Aliens wapo kweli 👾
︎ Teknolojia

𝗞𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗔𝗹𝗹𝗶𝗲𝗻𝘀 𝘄𝗮𝗽𝗼 𝘄𝗮𝗹𝗶𝘄𝗮𝗴𝗲𝘂𝘇𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮𝗷𝗲𝘀𝗵𝗶 𝘄𝗮 𝗦𝗼𝘃𝗶𝗲𝘁 𝗞𝘂𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘄𝗲

Hii ni stori ambayo ilitokea miaka 1980 mpaka kufikia mwaka 1990 na 1992 ambapo Kuna Siri kubwa CIA wameficha dhidi ya viumbe Alliens

Uzi ni wako 🛸
︎ Teknolojia

💎 Ripoti hiyo inaeleza kuhusu wakati wa mapambano ya Usovieti ambapo wanajeshi walirusha kombora kulipua kitu kilicho kuwa kinaruka chini na chenye umbo la diski ndani yake kulikua na Alliens.
︎ Teknolojia

👾 Hati hiyo inaonyesha au kuelezea Tukio la enzi ya Vita ya Baridi ambapo kupitia mkutano wa UFO unadaiwa Kuna baadhi ya wanajeshi 23 wa Soviet waligeuzwa kuwa mawe.
︎ Teknolojia

Masimulizi haya yaliyojaa simanzi inasemekana kulitokea Ndege ndogo Tano za mareoani za duara 👾🛸 ambapo uliweza kutoa Mwanga uliopelekea watu kupofushwa

na kugandishwa ambao manusurika waliobaki walikua wawili TU bila kujeruhiwa.
︎ Teknolojia

💭 Hii sio Siri Tena Dunia inabidi itambue ukweli kuhusu viumbe Alliens wapo kweli !!! Kuna hati ya CIA iliyofichwa miaka mingi Hatimaye imepatikana ikielezea mambo Mengi ya siri kuhusu viumbe Alliens.
︎ Teknolojia

💨 Baba nipate hii tu 🙏
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE

▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Kutengeneza picha kama hii unapakia picha na unaandika prompt kama hii hapo chini.
Unaweza modify kwa namna upendayo
Jaribu tuone👇
@Huduma

💨ChatGPT hazuiliki😂👇
︎ Teknolojia

. Hidden App Drawer Search Tricks
– Search app kwa jina lake au function yake tu kama “music” au “photo.”
– Zinaonekana haraka hata kama jina husahau.
Ni search engine ndani ya simu yako.
[7/]
︎ Teknolojia

. One-Handed Mode (Android & iPhone)
– Inapunguza screen size uweze kutumia simu kwa mkono mmoja.
– Perfect kwa watu wa mitandao ya usiku.
Settings > One-handed mode.
[6/]
︎ Teknolojia

. Scheduled Messages (Simu nyingi za Android)
– Tuma message baadaye bila kusahau.
– Perfect kwa birthday wishes, reminders n.k.
Messages > Tap "+" or Timer icon > Set time.
[11/]
︎ Teknolojia

. Safari/Chrome Tricks (Browser)
– Long press tab button kuona history.
– Swipe left/right kubadilisha tab.
– Save page kama PDF kwa offline reading.
[8/]
︎ Teknolojia

. Android Split Screen Mode
– Fungua apps mbili kwa wakati mmoja.
– Tumia YouTube huku unasoma notes au messages.
Settings > Recent Apps > Gonga icon > Split screen.
[3/]