Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

I'm trying Zed, the next gen code editor
How's it going everyone? Today I decided to give the Zed code editor a shot. I'm looking forward to pairing it with AI and seeing how it goes! What do you guys think?

You can try Zed here:
︎ Teknolojia

💨 Leo Elon Musk kaniwekea $19.16 hizi greti moja siinafika 😁
︎ Teknolojia

💨Redmi note 14 pro 5G💥

Redmi note 14 pro 5G specifications
▪️Camera: 200Mp
▪️Storage: 256GB
▪️RAM: 8GB
▪️Battery capacity: 5110mAh👇

💥Price: 880,000Tsh

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Samsung inajiandaa kuzindua simu mpya nchini India, Galaxy M56. Simu hii itauzwa kupitia Amazon
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE

▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE

▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

Feature hii mpya inapatikana kupitia setting zilizopo kwenye chati zako baina ya mtu na mtu pamoja na kwenye groups.

Ukifanikiwa kuiweka on itaweza kukusaidia kuboresha usalama wa chati zako kupitia mambo yafuatayo;
︎ Teknolojia

✔️ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kuhifadhi picha na video kwenye simu yake, kupitia kumzuia kuidownload na kuhifadhi kwenye kifaa chake.
︎ Teknolojia

𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗵𝗶𝗶

Whatsapp wameongeza feature mpya ya usalama kwa ajili ya picha / video na mazungumzo (voice) .

Kwa hii Whatsapp kiboko aiseeh!!!

Threads ni Yako
Repost
Like
Follow 🌍
︎ Teknolojia

🔕 Jambo kubwa zaidi ni kuhusu pia Kuna uwezekano wakaleta feature ya kuzuia screenshot kupitia chati za kawaida kama ilivyo kwenye kupiga screenshot kwenye profile picha za watu.

Usisahau kutu follow kwa maujanja zaidi 🌍🥂
︎ Teknolojia

✔️ Itamzuia mtu asiwe na uwezo wa ku exports chati zilizopo kwenye Whatsapp kutoka nje ya Whatsapp.

✔️ Itaweza kumzuia mtu asiweze ku forward message uliyomtumia.

✔️ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Meta AI Kwenye chati zenu.
︎ Teknolojia

💨 BATO LA TRUMP NA CHINA

▪️Trump kuongeza ushuru kwa China 30% kisha 84%
▪️China nayo ikaongeza hivyo hivyo
▪️Trump akaongeza tena ushuru hadi 145%
▪️China nayo ikajibu
▪️Trump akasema Xi ampigie simu
▪️Rais wa China akagoma kupiga simu
▪️Trump akatangaza kuwa atakuwa tayari kufanya makubaliano
▪️China haikujibu chochote
▪️Trump amerudisha ushuru kama awali.
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 420K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
📐 Ukubwa wa sensor za kamera za iPhone, zikilinganishwa na sensor ya Sony
︎ Teknolojia

Kwaiyo Ndege hiyo ilikua ya Marekani inaonyesha kuwa Kuna viumbe kweli Alliens vipo ambao wamarekani wamewaficha.

Aliens wapo kweli 👾
︎ Teknolojia

𝗞𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗔𝗹𝗹𝗶𝗲𝗻𝘀 𝘄𝗮𝗽𝗼 𝘄𝗮𝗹𝗶𝘄𝗮𝗴𝗲𝘂𝘇𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮𝗷𝗲𝘀𝗵𝗶 𝘄𝗮 𝗦𝗼𝘃𝗶𝗲𝘁 𝗞𝘂𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘄𝗲

Hii ni stori ambayo ilitokea miaka 1980 mpaka kufikia mwaka 1990 na 1992 ambapo Kuna Siri kubwa CIA wameficha dhidi ya viumbe Alliens

Uzi ni wako 🛸
︎ Teknolojia

💎 Ripoti hiyo inaeleza kuhusu wakati wa mapambano ya Usovieti ambapo wanajeshi walirusha kombora kulipua kitu kilicho kuwa kinaruka chini na chenye umbo la diski ndani yake kulikua na Alliens.
︎ Teknolojia

👾 Hati hiyo inaonyesha au kuelezea Tukio la enzi ya Vita ya Baridi ambapo kupitia mkutano wa UFO unadaiwa Kuna baadhi ya wanajeshi 23 wa Soviet waligeuzwa kuwa mawe.
︎ Teknolojia

Masimulizi haya yaliyojaa simanzi inasemekana kulitokea Ndege ndogo Tano za mareoani za duara 👾🛸 ambapo uliweza kutoa Mwanga uliopelekea watu kupofushwa

na kugandishwa ambao manusurika waliobaki walikua wawili TU bila kujeruhiwa.