Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.06K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Virtual Reality Rooms – Burudani Ndani ya Nyumba
Chumba kimoja au sehemu ya sebule kitawekwa teknolojia ya Virtual Reality (VR) kwa ajili ya kuburudika, kusafiri kidijitali, kufanya mazoezi au hata kuhudhuria mikutano ya kazini ukiwa nyumbani.
γ€½οΈŽ Teknolojia

Hawa si roboti wa sinema – ni AI-powered assistants wenye uwezo wa kufanya kazi ndogo ndogo za nyumbani bila kusumbua.
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Teknolojia za Usalama (Surveillance & Drones)
Kila nyumba itakuwa na mfumo wa usalama wa kisasa – kamera zenye AI, drone ndogo za kutambua wageni, na vifaa vya sensor za mlango na dirisha.
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Fridges zenye AI – Zinazoagiza chakula chenyewe
Friji litajua unapomaliza maziwa au mayai, na litaweza kuagiza moja kwa moja kutoka kwenye soko la karibu au supermarket. Pia litakushauri nini upike kulingana na kilichopo ndani.
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Smart Toilets – Vyoo vinavyojua afya yako
Ndiyo, hata vyoo vitakuwa na akili. Smart toilets zitakuwa na sensor za kuchambua mkojo na kinyesi, kukupa taarifa mapema kuhusu matatizo ya kiafya kama kisukari, maambukizi au upungufu wa virutubisho.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Watu wamekuwa wakihoji utofauti kati ya Samsung s24 Ultra vs s25ulta

Nimekuekea video chini πŸ‘‡
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Humu ndani pixel amekimbiza hatariπŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Mzee mzima @ze_mandevu ndani ya NJIWA STORE

Mimi with ndevu za kipilipili tumekaa kushoto πŸ˜‚πŸ˜‚
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Design gani ya kamera utaruka nayoπŸ‘‡
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ PIXEL MPYA πŸ’₯

β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
β€ŒπŸ†• Watumiaji wa Gemini Advanced sasa wanaweza kutumia Deep Research kwa kutumia Gemini 2.5 Pro Experimental, modeli ya AI yenye uwezo mkubwa zaidi duniani kulingana na viwango vya hoja vya tasnia na Chatbot Arena.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ PIXEL MPYA πŸ’₯

β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡
β–ͺ️Pixel 6a (6+128) - 430K
β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 650K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 650K
β–ͺ️Pixel 8 (8+128) - 950K
β–ͺ️Pixel 8a (8+128) - 950K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ‘1
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Google Pixel 10 series hizi hapa mpaka mpaka Google pixel 10 pro fold ipoπŸ‘‡
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Hawa watatoana damu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Branch yetu ya NJIWA STORE MWANZA kesho inshallah tutaifungua rasmi πŸ™

πŸ“Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Mimi mteja na boda wangu wa Delivery tulisimamisha Biashara kwanza tukaingia maeneo hapa πŸ˜‚πŸ˜‚
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨MAMBO USIYOFANYA UNAPOTUMIA TELEGRAM – AU AKAUNTI YAKO ITAPOTEA!

Telegram ni app nzuri, lakini bila kujua mambo haya unaweza kuingia matatani. Twende kazi...
❀2