Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

Step 04: Itakupeleka moja kwa moja kwenye picha zako za kwenye simu chagua picha unayotaka ku generate.

Chagua picha unayotaka kugenerate.G
︎ Teknolojia

💨Wale mlikuwa mnasema waganga hawana maisha saivi wapo live TikTok 😂😂
Na wanalipa namba kabisa
︎ Teknolojia

Step 07: Hapa kuwa mtulivu itachukua at least 4 minutes na zaidi kutengeneza hiyo picha
︎ Teknolojia

Step 09: Gusa picha itakupa option ya kusave moja kwa moja kwenye simu yako.
︎ Teknolojia

Step 06: sehemu ya ku type andika "Turn this into studio ghibli style" press mshale apo kuruhusu i generate.
︎ Teknolojia

Step 08: Picha ishakuwa tiari sasa🔥
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA 💥

▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

Step 05: Gusa picha unayotaka ku generate itapanda yenyewe kwenye sehemu ya ku type
︎ Teknolojia

𝗕𝗔𝗗𝗜𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗨𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗚𝗣𝗧

Je unapenda kubadilisha Picha yako kuwa Katuni kwa urahisi kupitia simu yako hapa tunazungumzia professional cartoon 😋

Threads ni Yako
Repost
Like
Follow
@Bongotech255
@Huduma

🔅 Studio Ghibli
🔅 Dragon Ball Z
🔅 Pixal
🔅 SimpSons
🔅 Minecraft
🔅 LEGO
🔅 Tim Burton
🔅 Original Photo
@Huduma

Tengeneza picha tuma Kwenye Mitandao ya kijamii tu tags tutaweza Share kwa watu wote si unajua Teknolojia ni Yetu sote 😋

Ebu tuambie umekua ukijifunza kitu Gani kwa ukaribu na AI ?
@Bongotech255
@ChatGPT

Usisahau kutu follow si unajua Teknolojia ni Yetu sote
@Huduma

💭Najua wengi wanasema wanatumia sijui adobe Photoshop, cartoon maker, adobe Xd kubadilisha Picha zako kuwa Katuni

Hapana 👎🏾, ebu angalia picha kama hii.... Unahitaji kubadilisha kuwa Katuni sio 😊