This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จ Mimi kwa ninavyoona mtu akitaka kununua gari ajipe miezi 6 ya kufuatilia baada ya hapo ndio anunue.

๐2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
Teknolojia Mpya - Roboti Yasaidia Kuondoa Uvimbe Bila Upasuaji!
๐ด ROBOTI YAFANYA HISTORIA TANZANIA โ UPASUAJI BILA KISU! ๐คฏ
Teknolojia imepiga hatua kubwa! Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, roboti limetumika katika kuondoa uvimbe kichwani bila upasuaji wa kawaida! ๐ฅ๐ค Hii ni hatua kubwa katika sekta ya tiba na inaonyesha jinsi AI na robotics zinavyobadilisha maisha yetu kwa kasi kubwa.๐ง
๐ต Tazama video hii hadi mwisho Kutoka kwa Millard Ayo na share mawazo yako kuhusu maendeleo haya ya kushanga

How to use Context Managers in Python Tutorial
In today's video we're going to be learning how you can create your very own custom context managers in Python!
โถ Become job-ready with Python:

Japan katika kupambana na Majanga ya Asilia Imeamua kuunda Nyumba zinazoweza kuelea Angani baada ya kutokea kwa Tetemeko la Ardhi.

Kampuni kama vile Air Danshin zitaweza kurusha nyumba hewani na kuzirudisha Ardhini kwa haraka baada ya sekunde chach,
Tetemeko la Ardhi kutokes lengo ni kupunguza athari zinazotokana na Majanga ya Asilia.

Katika masuala ya majanga ya asili, Japan inathibitisha kwamba uvumbuzi unaweza kupingana na gravity (mvuto).
Vipi hii teknolojia ikija Tanzania Kuna ubaya ๐

Teknolojia hiyo itaweza kufanya kazi kupitia mifumo ya Airbag system inayoendeshwa na vitambuzi vya masuala ya Tetemeko Ardhini itaweza kuelea hewani na kuepukana na madhara ya kuhalibiwa.

๐๐ฎ๐ฝ๐ฎ๐ป ๐ธ๐๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ป๐๐๐บ๐ฏ๐ฎ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ ๐ฝ๐ฎ๐ฎ ๐ต๐ฒ๐๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฒ๐๐ฒ๐บ๐ฒ๐ธ๐ผ ๐น๐ฎ ๐๐ฟ๐ฑ๐ต๐ถ
Japan ni moja ya Nchi ambayo Iko vizuri sana kwenye masuala ya Teknolojia Ulimwenguni baada ya China sema Wazungu ๐wanajifanya wanakaza mafuvu.

๐จWakati tukisubiri ujio wa Google pixel 10 series.
Kwa taarifa zisizo rasmi huwenda pakawa na Google Pixel 10 Pro Fold's
Unaonaje huu unyama๐ฅ๐