Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
🧑💻 〽︎ Teknolojia
Jinsi ya Kutengeneza na Kutumia Google Meet
📌 Google Meet: Jinsi ya Kuandaa Meeting na Join kuanza Kutumia | Fahamu features Zilizopo🎥🔵
Je, unataka kujua jinsi ya kuunda na kutumia Google Meet kwa ajili ya mikutano yako ya mtandaoni? Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya:
✅ Kuunda Google Meeting kwa haraka na urahisi
✅ Kutuma link ya mwaliko kwa washiriki
✅ Kutumia zana muhimu ndani ya Google Meet (kamera, maikrofoni, kushiriki skrini, n.k.)
✅ Kudhibiti na kuendesha mkutano

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑💻 〽︎ Teknolojia
💨 Mimi kwa ninavyoona mtu akitaka kununua gari ajipe miezi 6 ya kufuatilia baada ya hapo ndio anunue.

👍2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑💻 〽︎ Teknolojia
Teknolojia Mpya - Roboti Yasaidia Kuondoa Uvimbe Bila Upasuaji!
🔴 ROBOTI YAFANYA HISTORIA TANZANIA – UPASUAJI BILA KISU! 🤯
Teknolojia imepiga hatua kubwa! Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, roboti limetumika katika kuondoa uvimbe kichwani bila upasuaji wa kawaida! 🏥🤖 Hii ni hatua kubwa katika sekta ya tiba na inaonyesha jinsi AI na robotics zinavyobadilisha maisha yetu kwa kasi kubwa.🧐
🔵 Tazama video hii hadi mwisho Kutoka kwa Millard Ayo na share mawazo yako kuhusu maendeleo haya ya kushanga

How to use Context Managers in Python Tutorial
In today's video we're going to be learning how you can create your very own custom context managers in Python!
▶ Become job-ready with Python: