Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ The morning routine
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Website 5 BORA za BURE za Kujifunza Coding Haraka na Kuwa Developer (2025)
πŸ”₯ Unataka kujifunza coding bure, haraka, na kwa ufanisi? πŸ”₯
Katika video hii, nimekusogezea Website 5 BORA za BURE za kujifunza coding, programming, na web development kwa njia ya haraka na bora! Iwe wewe ni beginner au tayari umeanza, hizi website zitakusaidia kufikia malengo yako ya kuwa developer katika mwaka 2025. Hizi ni platforms bora kabisa zinazokufundisha coding kwa njia rahisi, interactive, na ya vitendo.

πŸ“Œ Kati
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

βœ… Nini cha kufanya?

Kama unatumia Android, huhitaji antivirus kama hupakui apps kutoka vyanzo vya nje.

Kama unatumia antivirus, tumia Bitdefender, Kaspersky, au Malwarebytes.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ”Ÿ Apps Zinazokuja na Simu (Bloatware) Zinazopaswa Kuzima
πŸ”΄ Kwa nini ni hatari?

Simu nyingi za Android huja na apps zisizo na maana (bloatware) zinazopunguza kasi ya simu.

Baadhi zinaweza kuwa na tracking na ads zisizohitajika.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

βœ… Nini cha kufanya?

Epuka apps zozote zinazoahidi pesa haraka bila kazi yoyote.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

βœ… Nini cha kufanya?

Tumia VLC Media Player, YouTube Music, au Spotify badala yake.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ XIAOMI MPYA βœ…

β–ͺ️Redmi A3x (3+64) - 230K
β–ͺ️Redmi A3 (3+64) - 250K
β–ͺ️Redmi 13C (8+256) - 359K
β–ͺ️Redmi 14C (8+128) - 300K
β–ͺ️Redmi 14C (12+128) - 350K
β–ͺ️Redmi 14C (16+256) - 380K
β–ͺ️Note 13 (8+128) - 450K
β–ͺ️Note 13 (8+256) - 530K
β–ͺ️Note 13 Pro (8+256) - 650K
β–ͺ️Note 13 Pro 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - 850K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (12+512) -1.1m
β–ͺ️Note 14 (8+256) - 600K
β–ͺ️Note 14 5G (8+256) - 750K
β–ͺ️Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
β–ͺ️Note 14 Pro 5G (8+256) - 880K
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (8+256) -
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨ Poco F7 Ultra imezinduliwa leo ikiwa na Snapdragon 8 Elite, 2.5x tele camera.
Mpaka kufika December ulimwengu wa simu utakuwa umeingiza maingizo mapya mengi mjiniπŸ‘‡
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Kwa mara ya kwanza nimekutana na Mkamaria @Thereal_taivina kanunua Samsung S25 Ultra 2.85M.

Haya ndiyo yalikuwa mzungumzo yetu.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ PIXEL MPYA πŸ’₯

β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)πŸ‘‡
β–ͺ️Pixel 6a (6+128) - 430K
β–ͺ️Pixel 7 (8+128) - 650K
β–ͺ️Pixel 7a (8+128) - 650K
β–ͺ️Pixel 8 (8+128) - 950K
β–ͺ️Pixel 8a (8+128) - 950K
β–ͺ️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Kampuni ya Meizu wanampango wa kuzindua Meizu 16 series nwezi huu wa April.
Simu ni nyingi kuliko watumiaji sasaπŸ‘‡
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨Jana tuliona Vivo akionyesha uwezo wake kwenye suala la Camera hapa.

Hapa kuna mtaalamu OPPO Find X8 Ultra. πŸ“Έ
Tupe maoni yakoπŸ”₯πŸ‘‡
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Zooming ya Samsung S25 Ultra πŸ“Έ
πŸ‘1
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨ Nimejaribu nimeweza japo imenitesa kinoma.