ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐ง๐
Mwanamke huyo Aliweza kugundua Uwepo wa Kamera kwenye kopo la Sabuni ambayo iliyokuwa imefichwa ndani ya chupa harpic kwenye choo.

Haijalishi wewe ni jinsia Gani Mwanaume au mwanamke lakini suala la Usalama wa faragha yako ni muhimu sana !!!.
๐๐พ Kuna jamaa mmoja ambaye ni mfanya usafi amekamatwa kwa Kosa la kutega Kamera kwenye bafu la kuogea kwa wateja.

Mwanamke Aliweza kuona jambo lisilo la kawaida kwenye hiyo chupa ya harpic, alipozima Taa Aliweza kuona Mwanga unatoka kwenye hiyo chupa ya Sabuni aliposogerea ndipo akaona Kuna Kamera imetegwa ikitizama kiti cha choo.

James Munisi
Je kipi ni bora zaidi?
๐ Kama unatumia Apple iPhone (TrueDepth Face ID) โ Face ID ni salama zaidi.
๐ Kama unatumia Android flagship (Samsung S25 Ultra, Google Pixel 8 Pro) โ Ultrasonic fingerprint scanner ni chaguo bora.

Tesla Inapitia Wakati Mgumu, Elon Musk: โWafanyakazi Msiuze Hisa Zenuโ
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
Tesla Inapitia Wakati Mgumu, Elon Musk: โWafanyakazi Msiuze Hisa Zenuโ
Tesla, moja ya kampuni kubwa zaidi duniani ya teknolojia na magari ya umeme, iko kwenye kipindi kigumu kisicho cha kawaida. Bei ya hisa zake imeshuka kwa karibu asilimia 50 tangu mwezi Desemba 2024. Hali hiyo imezua hofu miongoni mwa wafanyakazi, wawekezajiโฆ
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
Miaka 20 iliyopita Game pendwa ulimwenguni iliyokuwa inaongoza kuharibu Pad ๐, God of War iliweza kuachiwa.

God of War ni. Game la mapigano la Action Adventure ambayo iliundwa na kampuni ya SantaMonicaStudio
kwa kushirikiana na kampuni ya Ma games ulimwenguni Sony. Mara ya kwanza iliweza kuachiwa kwa watumiaji wa Playstation 2.

UMESHAWAHI KUCHEZA GAME LA GOD OF WAR ?? โก
Unajua Game la God of War mara ya Kwanza iliachiwa Mwaka Gani ? ๐
Threads ni yako Moja wapo ya Game pendwa ulimwenguni โ

Ilikua Machi 22, 2005, Kampuni hiyo ya Santa wanasherekea miaka 20 ya God of War toka kuachiwa kwake mpaka leo hii.
Umeshawahi kucheza hii Game ? Je Game Gani ya God of War unaipenda ? Tuachie maoni yako?
Angalia video zake ๐ค

Ilipoanzia cheki hizo impressions zimefika zaidi ya 500,000,000 kwa hapa X
Inashangaza sana
Ilipoanzia cheki hizo impressions zimefika zaidi ya 500,000,000 kwa hapa X
Inashangaza sana
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
โ Chagua My Contacts Except... kisha weka tiki kwa wale wote usiotaka wakutumie mwaliko wa kujiunga na makundi. Hii itakupa control kamili!

Hatua za Kufanya Hili:
1๏ธโฃ Nenda kwenye Settings
2๏ธโฃ Chagua Storage and Data
Hatua za Kufanya Hili:
1๏ธโฃ Nenda kwenye Settings
2๏ธโฃ Chagua Storage and Data
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
๏ธโฃ Kwenda sehemu ya Media Auto-Download
4๏ธโฃ Chagua Wi-Fi au Mobile Data kisha toa alama ya tiki kwenye picha, video na documents.
Hii itazuia WhatsApp kupakua media moja kwa moja, hasa kutoka kwenye groups usiyoyataka.

It looks like a file link
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Wanasayansi Wabuni Mashine ya Kuzalisha Umeme Kupitia Mzunguko wa Dunia.
Hebu fikiri hivi: dunia yetu inazunguka usiku na mchana, kila siku, bila kuchoka. Lakini je, umewahi kufikiria kwamba mzunguko huo unaweza kuwa chanzo cha umeme