Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

141. Two-Dimensional Lists | Jifunze Python kwa Hatua kwa Hatua
Katika video hii ya 141 ya kozi yetu ya Python, tutajifunza kuhusu Two-Dimensional Lists. Utajifunza jinsi ya kuunda, kufikia, na kudhibiti data ndani ya 2D lists kwa kutumia Python. Hii ni muhimu kwa data inayopangwa katika row na column, kama vile table au matrices.

๐Ÿ”ฅ Mambo Utakayojifunza:
โœ… Jinsi ya kuunda 2D lists katika Python
โœ… Namna ya kufikia value ndani ya nested lists
โœ… Kupitia (iterate) 2D lists kwa kutumia loops
โœ… Mifan
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Python's Partial Functions in 60 Seconds
Partial functions explained in under 60 seconds in Python.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Inasemekana mpaka kufikia mwaka 2078 Games za Playstation utaweza kuunganisha na mwili wako na kucheza moja moja kwenye game kama muhusika mkuu ambapo watu wateza kujiunganisha kupitia mfumo wa orbs.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Sijui mwaka 2000 ulikua wapi ? Na umri Gani ? Lakini mnamo mwaka 2000 Sony waliweza kutoa Tangazo la biashara la kushangaza ambalo linaloonyesha jinsi Playstation itavyokuwa miaka ijayo.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

๐— ๐—ช๐—”๐—ž๐—” ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿด ๐—š๐—”๐— ๐—˜ ๐—ญ๐—” ๐—ฃLAYSTATION ๐—ญ๐—œ๐—ง๐—”๐—ž๐—จ๐—” ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—œ๐—ก๐—”๐——๐—”๐— ๐—จ

Inasemekana mwaka 2078 kwenye game za Playstation muhusika utakua nwenyewe mchezaji ๐Ÿ˜ฑ

Threads ni yako

Repost like & follow
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Mfano Labda games ya GTA

Angalia video yake

๐Ÿ“ utaweza kuvaa kujiona wewe muhusika live na kuweza kucheza games pia inasemekana games miaka ijayo itakupa uwezo wa kutoa pesa utazozipata kwenye games kuzileta maisha uhalisia miaka hiyo 2078 tuombe uzima TU๐Ÿ˜.
๐Ÿ“‰ Hisa za Tesla zaporomoka kwa 15%, ikiashiria anguko kubwa zaidi katika miaka mitano.
๐Ÿš—๐Ÿ”ฅ Maandamano ya โ€˜Tesla Takedownโ€™ yameenea, huku baadhi ya vituo vya Tesla vikilengwa na vitendo vya uharibifu.
๐Ÿ†• Mwonekano mpya wa simu za Pixel 10 umevuja mtandaoni na kuonyesha muundo wake utabaki vile vile.

Simu mpya za Pixel 10, Pixel 10 Pro, na Pixel 10 Pro XL zitakuwa na mwonekano kama zimu za Pixel 9.