Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Mwezi ujao emoji mpya za mwaka huu zitaanza kutoka rasmi kwa watumiaji wa iOS na Android

Emoji ambazo zitaongezeka mwaka huu ni

🔘 Uso wa kuchoka
🔘 Alama ya kidole
🔘 Mti usio na majani
🔘 Mboga ya mizizi
🔘 Kinubi
🔘 Koleo/Beleshi
🔘 Mchirizi wa majimaji
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🚀 Tukio la kushangaza zaidi ni kuhusu Mwezi utaweza kupatwa na kubadilika kuwa Rangi Nyekundu kama damu ya Mzee ambapo tukio ilo litatokea Mwezi huu Machi Tarehe 14 na 15 , Mwezi utabadilika na kuwa Mwekundu Wote.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🗣️ Jitayarishe na Tukio la Ajabu la kupatwa kwa Mwezi Mwaka huu 2025! Ambapo Mwezi utaweza kubadilika na kuwa na Rangi nyekundu kama damu Duniani.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🔆 Nyakati zinatofautiana kuona lakini itaweza kuonekana kwa nchi mbalimbali kuanzia nchi za Magharibi ya Afrika, Asia , Mexico, Usa, Canada, Algeria, Libya, Morocco, Sudan, Tunisia, na nchi za Afrika Mashariki.

Credit:
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗝𝗶𝗮𝗻𝗱𝗮𝗲 𝗠𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗵𝘂𝘂 𝗝𝘂𝗮 𝗹𝗶𝘁𝗮𝗽𝗮𝘁𝘄𝗮 𝗽𝗮𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗠𝘄𝗲𝘇𝗶 𝘂𝘁𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗠𝘄𝗲𝗸𝘂𝗻𝗱𝘂 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗱𝗮𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗺𝘇𝗲𝗲

Kuna matukio mawili makubwa yataweza kutokea Mwezi huu Machi Mwaka 2025

Je unahitaji kuyajua ni Yapi hayo ?

Threads ni yako
🧑‍💻 <a href='https://t.me/Huduma'> ︎ Teknolojia </a>

bongotech2⁵5🎮🛜

Wala uhitaji kifaa Maalum kuweza kuonekana zaidi ya kuomba Afya njema na uzima tu kwa Mungu kuweza kushuhudia tukio hili Adimu ambalo ukilikosa utaweza kuliona tena mpaka mwaka 2041.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

💭 Ebu fikiria unatembea kwa miguu jua Kali na simu yako inakaribia kuzima, au huko kwenye gari mwanga wa Jua unakupiga tu usoni, utajisikiaje kutumia Hiyo fursa kuweza kuchaji simu yako ??🤫
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Lakini kwa ujumla si si Vyema kuweka vifaa vya kieletroniki juani ila kwa Infinix wamekuja kubadilika dhana hii kwani unaiweka juani na wala haipati Joto kutokana na Teknolojia iliyoundwa Nayo.

Tuwape Maua yao @InfinixMobileTZ 🔥🔥🔥
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

teknolojia hii inaweza kuchaji simu hadi 2W kwa dakika 10 na kukusaidia kulipia chaji iliyohifadhiwa ya simu wakati haitumiki.

💡 Bila kusahau Ina Teknolojia ya E - COLOR yenye kubadili Rangi ya simu kutokana na unachofikiria yani rangi unayofikiria basi Yenyewe inajibadilisha.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🚀 Kampuni ya kichina yenye kutoa simu za Brandi aina ya Infinix wameendelea kuishikiria Dunia kwa namna yao Wenyewe, Kupitia onyesho la MWC ya mwaka huu wameleta simu Yenye uwezo wa kuchajiwa kupitia Mwanga wa Jua.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗛𝗶𝗶 𝗻𝗱𝗼 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗴𝗮 𝘄𝗮 𝗝𝘂𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶𝘄𝗮

Hakika maendeleo ya Teknolojia yanakwenda Kasi sana Umeshawahi kufikiria simu kutumia Mwanga wa Jua kupitisha chaji 💡?

Nazani bado ila 2025 inawezekana
Threads ni yako
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🗣️ Infinix inakua kampuni ya kwanza kutoa Teknolojia hii kwenye matoleo ya simu Ulimwenguni ambapo kupitia paneli za jua zilizounganishwa kwa nyuma inakupa uwezo wa kuchaji simu yako pamoja na kava lake lenye uwezo wa kuchaji simu yako kupitia Mwanga wa Jua.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🔆 Teknolojia hii Infinix wameiita Solar energy Reserving Technology , hutumia seli za jua za Perovskite ambazo ni nyembamba kuweza kuzalisha seli ambazo inasaidia kuthibiti voltage.
🆕 WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka sehemu ya kutengeneza picha za Groups kwa kutumia AI.

Watumiaji wanaweza kuandika maelezo ya picha wanayoitaka, na AI itatengeneza picha hiyo na itaweza kutumika katika sehemu ya profile picture ya group (group icon).
Tetesi mpya za mockup mpya ya iPhone za mwaka huu zinaonyesha kuwa iPhone 17 Pro Max itakuwa nene zaidi kuliko iPhone 16 Pro Max.

Pia inasemekana, iPhone 17 Pro zitakuwa na kamera kubwa ya mstatili yenye kingo za mviringo, huku lenzi za nyuma zitakuwa kwa mtindo wa pembetatu.