๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
Kwenye video moja iliyopostiwa mtandaoni sio ya kutengenezwa ni uhalisia ikionyesha Roboti akiwa na uwezo wa kupiga mapigo ya Kung Fu bila kusahau uwezo wa kuruka mateke ya kuzunguka nk.

Roboti huyo anauzwa kwa Dola $16,000 ikiwa na injini 23 mpaka 43 zinazomuwezesha kutembea, kukimbia, kurukaruka,
kupiga ngumi na hata kucheza.
Roboti awa tofauti na wale wa Magharibi kama vile Tesla na optimus Yenyewe G1 Ina uwezo wa kujilinda inapoona hatari mbele yake.

๐๐ต๐ถ๐ป๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ฟ๐ผ๐ฏ๐ผ๐๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ถ๐ด๐ฎ๐ป๐ฎ
China sasa inazidi kuwa tishio ulimwenguni dhidi ya Teknolojia maana sio kwa kutuletea Roboti ๐๐ anagonga ngumi kama Mohammed Ally โ
threads Iko chini
Repost
Like &
follow

Kampuni ya Unitree ya kuunda Roboti aina mbalimbali imeonyesha Roboti mpya aina ya G1 Humanoid yenye uwezo wa kupigana kwa kufundishwa ndani ya dakika 3 na kuweza kufanya Kila kitu kwa usahihi.

Apple Yawatambulishia iPad Air Mpya Yenye Chipu M3 na Magic Keyboard Mpya โ Je, Uinunue?
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph

iPad Air Mpya: Nini Kipya? Apple haikufanya mabadiliko madogo tu โ iPad Air mpya imeboreshwa kwa viwango vikubwa: Chipu M3 inayotoa kasi kubwa na utendaji bora kwa kazi nzito kama uhariri wa video, gaming, na multitasking. Magic Keyboard mpya yenye trackpadโฆ
Mwezi wa Ramadhan (2025) Apps Muhimu
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
Mwezi wa Ramadhan (2025) Apps Muhimu
Every year, Muslims all over the world come together to fast during the holy month of Ramadan. During this month, all followers of the Islamic faith perform prayers and other good deeds to please God as part of the monthโs worship.
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
Kwenye Events ya MWC wa mwaka 2025, wachina bhana waliweza kuonyesha simu yao mpya aina ya Xiaomi 15 Ultra ikiwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia kwa mwaka 2025.
Inaitwa Xiaomi 15 Ultra ni flagship ambayo imeachiwa 27 Februari 2025 ikiwa feature mbalimbali ndani yake;

๐ค Ina Ram ya 16GB na internal storage ya 512GB inayokufanya Hutumie simu bila kuwaza kama itajaa kwa muda mrefu bila kuganda Ganda kutokana na uwezo mkubwa wa Ram iliyopo ndani.
Wifi yake ni kinanda kwani version ya wifi 7 yani wewe suala la intaneti kusumbua utasahau kabisa.

๐ Betri lake 5410Mah + 90W fast charging + 80W ya wireless charging
๐ธ Kamera yake ya Nyuma 200mp + 50mp + 50mp yenye kutoa picha Kali balaa.
๐ท Kamera ya mbele ni 50mp
๐ฃ๏ธ IP rating 68

๐ซ๐ถ๐ฎ๐ผ๐บ๐ถ ๐ฏ๐ถ๐ป๐ด๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐ฟ๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ
Wachina mwaka 2025 wameamua kufanya kweli kwenye Mapinduzi ya simu ๐
Yani Samsung na Apple watulie kwanza wazee ๐ฃ๏ธ
Threads ni Yenu ๐

๐ค Xiaomi 15 Ultra specs:
๐ processor yake ni Snapdragon 8 Elite processor 4.32 .Mhz octacore.
๐ Android version 15 + HyperOs 2.0
๐ก Display yake Ina 120Hz ikiwa na inchi 6.73 resolution ya 3200 ร 1440pixels.

Itaanza kusambazwa ulimwenguni kote kuanzia Machi 11 ambapo gharama yake inaanzia TzSh 2.6 milioni/= mpaka TzSh 2.8milioni /=
@Xiaomi
@Bongotech255
@XiaomiUSA

Lensi yake ni Kali balaa unavuta kitu kwa umbali na kukiona kwa ukaribu bila ukungu wa aina yoyote.
๐ค Uwezo wa kuchaji simu yako ndani ya dakika 20 na kujaa bila kusahau wireless charging ambayo unaweza mrushia Mtu chaji kwa spidi kubwa ndani ya muda machache kufika asilimia 50

๐ก CHAKUVUTIA ZAIDI:
๐ค kwenye hii toleo la Xiaomi 15 Ultra ni Simu Bora kwa upande wa Kamera inatoa picha nzuri kuliko toleo jipya la Samsung s25 Series' na Iphone 16 series na kuifanya kuwa simu pendwa yenye Kamera Kali Mwaka huu 2025.

TECNO Yazindua Camon 40, Camon 40 Pro, Camon 40 Pro 5G na Camon 40 Premier 5G
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
TECNO Yazindua Camon 40, Camon 40 Pro, Camon 40 Pro 5G na Camon 40 Premier 5G
The Tecno Camon 40 series offers a range of options, starting with the base Camon 40, which features a 6.78-inch 120Hz AMOLED display, a Helio G100 processor, a 50MP OIS main camera, and a 32MP front camera, powered by a 5,200mAh battery with 45W fast charging.
Google Inajaribisha Search Engine Itakayotegemea Akili Mnemba (AI) Tu.
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
Google Inajaribisha Search Engine Itakayotegemea Akili Mnemba (AI) Tu.
Google imeanza majaribio ya toleo jipya la injini yake ya utafutaji ambalo linategemea Akili Mnemba (AI) pekee, bila orodha ya kawaida ya viungo vya tovuti (10 blue links). Kwa sasa, huduma hii inapatikana kwa watumiaji wa Google One AI Premium, kifurushiโฆ