Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kuna hii limited series inaitwa Zeroday
๐Ÿ‘1
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kwa sasa zimeundwa chache ili kufanyiwa majaribio

lakini zitatengenezwa Nyingi zaidi ifikapo mwishoni mwa Mwaka.

China wako juu sana โœ๏ธ
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ท๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐˜‚๐—ฐ๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ ๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐˜€ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ฟ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ

Hakika china ni nchi iliyopo kwenye Dunia yake aiseee โœ๏ธ umeshawahi kujiuliza inawezekana vipi ๐Ÿ˜€??

Threads ni yako โœ…
๐Ÿ‘1
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Muundo wake wa uliyowekwa unatarajiwa kuwezesha ndege zisizo za Rubani kubani Angani kwa miaka mingi

na kusaidia kwenye matumizi ya kulinda maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda mrefu kuanzia Angani,

ardhini na kusafirisha vifaa vya matibabu.
๐Ÿ‘1
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kampuni ya Teknolojia ya Nishati mpya ya Betavolt iliyopo nchini China imezindua betri ndogo ya Nyuklia,

BV100 iliyoundwa kwa ajili ya ndege zisizo kuwa na Rubani na kuweka kukaa miaka 50 bila kuchajiwa zikiwa zimepaa.
๐Ÿ”ฅ1