Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

😉 Kama ulikua na hamu ya kuziona Sayari zile saba zikijipanga kwenye mstari mmoja mnyoofu basi Leo ndo itakua siku ya Mwisho kuziona kama bado hujaziona.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🚀 Kumbuka Sayari ambazo utaziona kwa uzuri kupitia macho yako ni Venus, Jupiter, Mars zitaonekana wazi Huku Sayari zingine utaziona lakini kwa Udhaifu hivyo itakupa umakini wa kutulia Angani ili kuziona

Unaachaje kutu follow sasa 😉
Ebu fanya kutu follow chap
@Bongotech255