Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Mtungi wa Gesi ni moja wapo ya Teknolojia iliyokuja kusaidia sana watu kuweza kupika kitu kwa haraka na kwa muda mfupi ni nishati nzuri sana kuliko nishati ya kuni na Mkaa.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Najua watu wengi wa masuala ya mazingira wanawaambia watu wengi kutumia hii kuliko Mkaa kwani matumizi yake yanaokoa athari ya ukataji miti. Lakini kuweka mtungi wa gesi ndani ya nyumba yako ni sawa na kuliweka bomu ndani 🚀 linalongoja kulipuka.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

RT @AdvocateKondele: Misala ikiamua kukufwata unakuwa huna la kufanya Mwana alikuwa Yuko zake bar anakunywa beer na wana huko Kagera.

Jamaa alikuja akamkuta Mwana anapiga vyombo jamaa akawaka akanzisha UGOMVI kumbe siku zake za kuishi duniani zimefika mwisho.

Katika kujibizana jamaa akachukua chupa Cha beer na Kisu akaanza kumfukuza Mwana.

Wakati Mwana anakimbia kwa hofu aliona jiwe akachukua Ili kujiami akamrudha likampata jamaa upande wa kulia wa kichwa chake, then jamaa aka
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Watalaam wanasema usitingishe mtungi wa gesi kutambua kama gesi imeisha ama bado, tumia kitambaa kiweke maji kisha paka kwenye huo mtungi kwa pembeni na utaona kiasi kilichobaki.

Usisahau kutu follow kwa maujanja zaidi @Bongotech255
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

inverter 220v ac 2400w best portable power station, AFERIY P210

AFERIY P210 Station D'énergie Portable | 2400W 2048Wh
Code: YT-IKRP210
Réduction de €170
Lien produit:
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

inverter 220v ac 2400w best portable power station, AFERIY P210

AFERIY P210 Station D'énergie Portable | 2400W 2048Wh
Code: YT-IKRP210
Réduction de €170
Lien produit: