Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

5 Ways To Improve Any Function in Python
Here are five ways you can improve any function in Python.

Become job-ready with Python:
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ways To Improve Any Function in Python
Here are five ways you can improve any function in Python.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

00:00 Learning Python made simple
00:05 Intro
00:13 Getting started
01:19 Tip - Meaningful names
01:44 Tip - Typing
02:56 Tip - Documentation
04:49 Tip - Proper validation
06:38 Tip - Prioritise readability
08:30 Comparison
10:00 Conclusion
bongotech2⁵5🎮🛜

Sasa wakazi wengi wa iringa kwenye Kijiji chao wanapata umeme kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaisha na biashara baada ya kawaga kuwatoa kwenye matumizi ya Mafuta na kuanzia kutumia nishati ya Umeme.
bongotech2⁵5🎮🛜

Kuna na mvumbuzi kutoka Tanzania anaitwa Gibson kawaga aliyebadili betri mbovu za laptop zilizotupwa kuwa nishati endelevu katika Kijiji kimoja kilichopo mkoa wa iringa Nchini Tanzania.
bongotech2⁵5🎮🛜

Familia nyingi kwenye mkoa wa iringa bado zinategemea taa za mafuta ya taa pamoja koroboi ambazo hazifai na zinaharibu afya na mazingira.
bongotech2⁵5🎮🛜

Kutokana na changamoto hii Mtaalamu Gibson kawaga akaamua kutatua changamoto ya Kijiji chao kwa kuvumbua umeme ambao unatumia betri za laptop Zilizotupwa na kutoa mwanga pamoja na matumizi mengine nyumbani na maofisini nchini kote Tanzania.
bongotech2⁵5🎮🛜

Historia ya Gibson kuwa mvumbuzi ilikua ya kushangaza sana ilianzia kwenye familia yake walikua na changamoto ya kukosa umeme kwa kuishi Kila siku bila umeme, ndiyo maisha halisi kwa zaidi ya nusu wakazi wa Kijiji chao.
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali za Teknolojia kwa lugha ya kiswahili @Bongotech255

Si unajua Teknolojia ni Yetu sote
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali za Teknolojia kwa lugha ya kiswahili @Bongotech255

Si unajua Teknolojia ni Yetu sote
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

5 Ways To Improve Any Function in Python
Here are five ways you can improve any function in Python.

Become job-ready with Python:
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali za Teknolojia kwa lugha ya kiswahili @Bongotech255

Si unajua Teknolojia ni Yetu sote
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

The Gorge Review
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

kuvuka bahari ya pasifiki, ukanda wa kusini mwa bara la Asia na Afrika upande wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.

Nchini zenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na hii changamoto ni India, Bangladesh, Pakistani, Sudan, Nigeria, Venezuela, Colombia, Tanzania, Zimbabwe, Nigeria nk
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗷𝗶𝘄𝗲 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗹𝗶𝘁𝗮𝘀𝗵𝘂𝗸𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟯𝟮

Aisee Kuna ripoti mpya imetoka kuhusu jiwe kubwa kushuka duniani 😲

Repost
Like
Follow
@Bongotech255

Tujifunze sote
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Imelipa jina la ukanda wa hatari "risk corridor" litakaloweza kuathiri baadhi ya nchi kwa mawe hayo makubwa kushuka Kuanzia ukanda wa kaskazini Ya Amerika ya kusini....👇
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Ambapo ikitokea asteroid imetua duniani inatoa nishati yenye nguvu ni Mara 500 zaidi ya bomu la atomic bomu (bomu la nyuklia).

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali kuhusu Teknolojia
@Bongotech255

Credit to: @NASA
@IndiaToday
🧑‍💻 🥀 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Watafiti kutoka Nasa wameshaanza kutoa ripoti kuhusu jiwe kubwa litakalo weza shuka duniani ambalo linaitwa asteroid 2024 YR4,

Na kuibua wasiwasi juu ya maafa yanayoweza kuhalibu baadhi ya miji kwenye nchi kadhaa.