Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—”๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—ผ๐—ฑ๐˜€

Matumizi ya Airpods za wireless na Earphones || headphones za waya nchini Tanzania yamekua makubwa sana kwa watumiaji wengi.

Unajua ni hatari kwa afya yako kutumia Airpods ?? ๐Ÿ—ฃ

Threads ni Yako
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’ญ Kosa kubwa kwanza watu wanafanya ni kuzitumbukiza kwa ndani zaidi Airpods ambazo kutokana na muundo wake inakupelekea kupelekea mitetemeko kwenye masikio usababisha kichwa kuuma, maumivu ya masikio na kuhalibu ngoma ya sikio lako.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’ญ Pili wengi tunatumia bila kujua kama inafaa kwenye sikio lako au lah wengi wanatumia Airpods sio size kwenye sikio lake na kukupelekea upate maumivu ya s wakati umeziweka sikioni kwako na kuzikandamiza kwa ndani kwa kuwa sio size yako kupelekea maumivu kwenye sikio.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’ญ Kutumia Airpods kwa muda mrefu pia ni hatari kwa afya yako unakuta mtu anatumia Airpods dakika zaidi ya 90 ziko masikioni kusababisha maumivu. Cartilage za masikio yetu hazijawekwa ili kushirikia kitu kwa muda mrefu sana hapana.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Unajua matumizi ya kutumia Airpods || headphones kuweka masikioni ni hatari sana kwa afya yako ๐Ÿ˜Œ?? Najua wengi hawajui hii leo nitakujuza kwa ufupi tu madhara ya Earpods kwenye masikio yako.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

EXTREMELY FAST SNOW REMOVAL TOOLS AND MACHINES
While it's almost spring in some regions, it's still snowy in some places. So, let's take a look at some helpful tools and technologies that can make things easier during the winter!

https://docs.google.com/document/d/1eb8CRnaNks6va7Nua4olI0z1YLwU7lILmoXmsnm0k5Y/edit?usp=sharing

00:23 - WP-6
00:53 - Makita SN400MP
01:12 - Beilhack
01:34 - IC Wedge Plow
02:02 - Virogun Robot
02:29 - Shovel Scraper
02:53 - Kรคrcher Ice Scraper EDI 4
03:13 - EcoLife S
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐—ฑ๐˜‚๐—ฐ๐˜๐˜€ ๐—ธ๐—ฒ๐˜†๐˜€ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฏ๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ช๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐˜„๐˜€ ๐Ÿญ๐Ÿฌ & ๐Ÿญ๐Ÿญ

Ulikua unasumbuka kutafuta products keys za bure kwenye windows yako

Usijali leo nakupa products keys za bure mwaka mzima siku 365 unatumia ๐Ÿ‘Š
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Ikiwa unatumia windows 10 na windows 11 inakuletea ujumbe ya "Your windows is not Activated" usijali kabisa leo utaweza kuondoa changamoto hii kwenye kompyuta yako.

๐Ÿ—ฏKila moja inafanya kazi kwenye kompyuta kazi kwako
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
From the days of the Three Little Pigs, construction methods have come a long way and reached incredible heights. In this compilation, you'll find out about impressive robots, augmented reality, and plenty more to give you a boost of inspiration.

1) PERI SKYFLEX
https://www.youtube.com/watch?v=M7L7XGCUPw0
2) PERI ALPHAKIT
https://www.youtube.com/watch?v=PSmLg0rat1E
3) Unfold Form
https://www.youtube.com/watch?v=iwPnUZRBuw8
4) FLIR Si
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿ—“๏ธ Feb 19 - Jumatano:
Apple itakuwa na event

Tetesi zinaonyesha itatambulisha simu mpya ya iPhone SE/iPhone 16E https://twitter.com/tim_cook/status/1890068457825394918#m
๐Ÿ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

THIS Just Became So Much Easier In Python
This just became so much easier in Python.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

how to make mini pc water cooling case, raspberry pi 5, DIY Mini multi function PC
Making The Most Smallest Liquid Cooled Gaming PC - Mini PC
Raspberry Pi 5 Case Mini Pi PC, When your case is more expensive than your computer
Product from here ๐Ÿ‘‡
https://www.inphic.com/products/inphic-in9-wired-wireless-mouse-rechargeable-rgb-lighting-gaming-mice-10000dpi-6-buttons-programmable-tri-mode-bluetooth-optical-sensor-mouse-type-c-wired-2-4ghz-bluetooth5-0-blue-white?ref=KR
Official website here ๐Ÿ‘‡
https
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

EXPENSIVE SUPERCAR FAILS CAUGHT ON CAMERA
Have you ever wondered how expensive car accidents can get? Let's find out! We're talking twisted metal, headlights staring at you in silent reproach, and crashes involving cars worth as much as an apartment in Paris... All this and more in today's video!

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at content.manager@techzonelab.in
๐Ÿ†• YouTube imebadilisha rangi yake nyekundu kuwa na style ya gradient na imeongeza rangi ya โ€œmagentaโ€ kwenye muundo wake mpya.
YouTube imeanza kuwa kama Instagram kwa mbali - inaanza kutumia mchanganyiko wa rangi nyingi kwa style ya Gradient.

Rangi kuu zitabaki kuwa ni Nyekundu na Magenta
Rangi mpya ya nyekundu inangโ€™aa zaidi, na rangi ya magenta itaanza kutumika kwenye sehemu za mistari.
Rangi nyekundu sasa inatumika kwa uchache kwenye nembo, huku magenta iliyochanganywa na rangi nyekundu itakuwa kwenye logo, buttons, na alama ya YouTube Premium.