Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

UNBELIEVABLE OFF-ROAD FAILS AND WINS CAUGHT ON CAMERA
Where the pavement ends, the off-road adventures begin. Buckle up for some thrilling videos! Expect crashes, jumps, flips, and more in today's video!

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at content.manager@techzonelab.info
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Smart Lock ,YOUR FINGER IS YOUR KEY , Welock Electronic Smart Door Lock Cylinder
a.link :SECBN51 Welock Electronic Smart Door Lock Cylinder save €50
a.link : https://www.welock.com/INVEYT35864
coupon: SINDRO50
Final price: €139
Shipping from European Warehouse and 2-Year warranty.
AMZON
a.link : https://amzn.to/4hcirgu
@WelockSmartLock
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【 https://ko-fi.com/inventorkr/shop
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Flat TV : How to convert LCD TV into Led TV || easy repair Technic




This video shows you how to convert LCD TV into Led TV, how to replace
Cold cathode fluorescent lamps with light emitting diode lamps,
And how to replace CCF lamps driver with led lamps driver.
LCD tvs are no longer in production, once back light Leds or CCF Lamps driver are faulty it is not easy to get the spare parts,so it is easier to convert it into LED TV, it is just replacing CCF lamps with LED lamps as well as replaci
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Jinsi ya Kuingiza Data Katika Tables | Jifunze Microsoft Access
🎯 Karibu kwenye sehemu ya nne ya mafunzo ya Microsoft Access!

Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuingiza data kwenye Tables za database yako kwa usahihi. Baada ya kuunda tables na kuanzisha uhusiano (Relationships), sasa ni wakati wa kuzijaza na data ili database yako iwe na taarifa zinazoweza kufanyiwa kazi (queries, forms, reports).

📌 Mambo utakayojifunza katika video hii:
Jinsi ya kufungua Students Table na kuingiza
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Wakati mwingine unakuta umeiweka pesa kwenye simu yako utakuta jumbe za ajabu kama vile Boss unaachaje kucheza ujishindie mamilioni ya pesa, Soko la bure nk
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Unakuta mtu wala apendi kucheza michezo ya kamari lakini unakuta kila siku lazima apate tangazo la michezo ya kubashiri au umejishindia kiasi fulani cha pesa fanya hivi kujichukulia zawadi wakati ujacheza je hizi taarifa zinatoka wapi ?
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Wahanga wengi hawapendi kabisa hii michezo lakini hujikuta bila ridhaa yao wanakuta jumbe za kamari kwenye simu zao na wengi wanashindwa kujiondoa

kwani hawajui hata wameunganishwa vipi inafika kipindi mpaka makampuni yanakukata pesa kwa huduma ambayo hata ujajiunga.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Ni muhimu mamlaka zinahusika na masuala ya mitandao itunge sheria kuhusu kudhibiti mitandao ya simu kwa kutunza taarifa za mteja maana wakati mwingine makampuni ya simu yanaiba taarifa zetu.

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi 🗣
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Asilimia kubwa taarifa hizi zinatoka kwenye makampuni ya simu ambayo ufanya kazi ya kuuza taarifa za wateja wao kwa makampuni mengine

yanayohitaji huduma ya kujitangaza kuhusu jambo fulani labda kubashiri na kuweza kuwatumia watu waliojisajili kwenye huo mtandao.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗸𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘃𝘂𝗷𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝘄𝗮𝘁𝗲𝗷𝗮 𝘄𝗮𝗼

Nazani kwenye simu yako kwa siku unaweza kupokea ujumbe mbalimbali za matangazo haswa matangazo ya kubashiri au kubahatisha (bahati nasibu)

Threads 👇👇
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Kiuwalisia jumbe zote tunazotumiwa za matangazo zingine hata hatujajiunga huwa zinakua taarifa binafsi za mteja zimeuzwa kwenda,

makampuni mengine ya kubashiri na kupelekea mteja bila kujua kupotea ambazo azipendi kwenye simu yake.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Jinsi ya Kutengeneza Query Katika Microsoft Access ili Kuchuja Data
🎯 Karibu kwenye hatua ya tano ya mafunzo ya Microsoft Access!

Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuunda Query katika MS Access ili kuchuja na kupata taarifau haraka. Tutaunda Query Design ili kutafuta wanafunzi wote waliojiandikisha kwenye somo la Mathematics kwa kutumia meza tulizounda kwenye database yetu.

📌 Mambo utakayojifunza katika video hii:
Jinsi ya kutumia Query Design kuchuja data kwenye database.
Kuongez
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

za nguvu kuhusu Technology January 2025
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
🥀 ︎ Teknolojia

how to install a home solar energy storage system, Complete installation, 11kw inverter
48V Hybrid Inverter 11000W tester with maximum continuous battery discharge current of Jakiper Battery 48V 100Ah
how to install a home solar energy storage system, Complete installation, 11kw inverter
In conclusion, the DATOUBOSS 11Kw 48v Hybrid Inverter with Jakiper Battery 48V 100Ah The battery and is capable of efficiently powering high-load devices, making it an excellent power backup solution for home or
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to install a home solar energy storage system, Complete installation, 11kw inverter
48V Hybrid Inverter 11000W tester with maximum continuous battery discharge current of Jakiper Battery 48V 100Ah
how to install a home solar energy storage system, Complete installation, 11kw inverter
In conclusion, the DATOUBOSS 11Kw 48v Hybrid Inverter with Jakiper Battery 48V 100Ah The battery and is capable of efficiently powering high-load devices, making it an excellent power backup solution for home or
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Jinsi ya Kutengeneza Fomu ya Kuingiza Data | Data Entry Form Katika Microsoft Access
🎯 Jifunze jinsi ya kuunda Data Entry Form katika MS Access kwa urahisi!

Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza fomu ya kuingiza data (Data Entry Form) kwa kutumia Form Wizard katika Microsoft Access. Fomu hii itakusaidia kuingiza data kwenye table ya Students kwa haraka na kwa ufanisi bila kujaza moja kwa moja kwenye table.

📌 Mambo utakayojifunza katika video hii:
Jinsi ya kuf