Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🚨 Rings mpya za kamera zimeunganishwa kwa gundi, hivyo zinaweza kubanduka kwa urahisi. Tofauti na mwanzo ambapo ring za kamera zilikuwa zimejishika ndani ya simu
Lakini bado simu hii ni imara kuhimili mikunjo na kioo chake kinaweza kuhimili moto kwa zaidi ya sekunde 30
🚨 Frame ta Titanium ni imara, lakini imewekwa katika frame ya simu na sio katika buttons za simu. Hivyo button za simu sio Titanium
🚨 S-Pen imepunguzwa uimara wake na mwaka huu imekuwa ni nyepesi zaidi, haina betri na inavunjika kwa urahisi sana
🧵⚙️ Samsung Galaxy S25 Ultra ni simu nzuri sana na mwaka huu ina mabadiliko machache katika mwonekano.

Lakini katika reviews zake, mwaka huu Samsung imeshusha ubora na uimara wa Galaxy S25 Ultra. 🧵
🚨 Kioo chake kinaweza kupata mikwaruzo kwa urahisi lakini endao ukitumia kitu cha ncha kali. Hivyo ni muhimu kuweka screen-protector
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

POWERFUL ENGINE SOUNDS THAT WILL SHAKE YOUR SOUL
Описание: Brace your ears, because today's lineup is going to give them a workout! This selection of engines will stir your emotions and fill you with excitement at full throttle.

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at content.manager@techzonelab.info
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Complete installation Low Frequency Inverter home solar energy storage 48V system 5KW
48v inverter 5000W test with maximum continuous discharging current 100ah battery
In conclusion, our 5KW 48VLow Frequency Inverter with a 100Ah battery is able to power high-load devices efficiently, making it an excellent power backup solution for home or office use.

Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel
5KW 220V 48V Low Frequency Inverter Charger👇👇
https://powmr.
Ina free VPN, Akili Bandia, beats za kuongeza focus, na mwonekano wa kisasa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Opera imezindua browser mpya ya Opera Air

Ni browser mpya ambayo ina vipengele vya kutunza afya ya akili.

Kuna “Take a Break” kwa mazoezi ya mwongozo na “Boosts” inayotumia teknolojia ya binaural beats kuboresha umakini.

Unaweza kuipata kupitia tovuti ya Opera.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Yote ni maswali ambayo watu wengi wanajiuliza kuna ulazima gani wa kuweka Airplane mode kwenye simu zetu ? Simu tunajua ni moja wapo ya kifaa cha mawasiliano ambapo watu tunatumia kuw asiliana na kufanya mambo mengine.