Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
3️⃣ Imeweka tips zinazoendana na akaunti, contents na mazoea yako

Instagram imeweka mfumo mpya wa kukupatia taarifa zinazoendana na akaunti yako ili kukupatia insights za ziada ambazo zitakusaidia kufahamu content zako zinavyopokelewa.
2️⃣ Mitazamo kwa Muda (Views Over Time):

Inaonyesha idadi ya mitazamo ambayo Reels zako zimepokea hadi sasa ikilinganishwa na wastani wa mitazamo ambayo Reels zako zinapata
🆕🧵 Instagram imeongeza vipimo vipya 2 kwa Reels:

1️⃣ Kiwango cha Kutazamwa (View Rate):

Hukusaidia kuelewa asilimia ya wafuasi wako na wasio wafuasi wanaoendelea kutazama baada ya sekunde tatu za kwanza.
🆕 Apple Map tayari imebadili jina la Gulf of Mexico kuwa Gulf of America
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS TOOLS YOU'LL WANT TO SEE
In today's video you'll find everything you need to work comfortably. From wrenches to exoskeletons, from sledgehammers to laser rulers...These pros will have you mesmerized as they show off their tools. By the end of the video, you might even want to buy something from this compilation!

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at conte
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

make a simple AM radio , receives all international radio stations , jlcpcb
JLCPCB PCB Fab & Assembly from $2! Register to get $60 Coupons: 【 https://jlcpcb.com/?from=inventorKR

I will teach you step by step how to make a radio to receive world radio stations, with simple electronic components, it can be an electronic project or a university graduation project, this radio does not need much power as it works on a 3 volt battery only. In the video, I will provide you with the circuit diag
🆕 Windows 11 imeboresha matumizi kwa watumiaji wa iPhone! Sasa unaweza kufikia simu yako moja kwa moja katika Start menu

Utaweza kuangalia message, kupiga simu, na kutuma faili, kama watumiaji wa Android.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗣𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗚𝗛𝗔𝗥𝗔𝗠𝗔 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜

Ule usemi wa bora kuzaliwa mbwa ulaya 😁 nimeanza kuelewa sasa Aiseeh Dunia simama tushuke njiani ✍️

Umeshawahi kumuona paka mwenye maisha mazuri kwenye hii Dunia 🐈

Thread ni yako
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Anatabasamu la kipekee 😁mpaka mapaka dume wanaangaika kumpata lakini wapi ?

Media: Rexiecat
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Rexie ni paka mlemavu ambaye anafugwa lakini anaishi maisha ya kipekee sana na kuvutia watu kwenye mitandao ya kijamii akiwa na followers wengi zaidi ya laki moja.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Rexie ni paka anayejulikana sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na uso wake wa kuvutia na mwenye kutoa ishara za kustaajabisha. Alizaliwa mwaka 2014.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Dunia na maajabu yake kutana na paka ambaye ni maarufu Duniani anajulikana sana kwenye mitandao yw kijamii, paka huyu anaitwa Rexie ndo paka mwenye maisha ya Gharama na anaishi maisha mazuri kuliko mnyama yoyote wa kufugwa.
🧠 DeepSeek AI - hawa ndio Watafiti, waandishi wa zamani wa pamoja, na washirika wake
📊 Threads imefikisha watumiaji Milioni 320 kwa mwezi.

Inakaribia nusu ya watumiaji wa X/Twitter ambao ni Milioni 650 kwa mwezi.
DeepSeek-R1 sasa inapatikana katika platform za Amazon Bedrock na SageMaker AI
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

wanini Black myth: Wu Kong imeshindwa kuchukua Game of the Year ? Powered by @snashcacre
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

COOL INVENTIONS THAT REALLY IMPRESS
Technology is moving forward incredibly fast! To keep you in the loop with the most exciting tech developments, we've put together this compilation.

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at content.manager@techzonelab.info