Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Usisahau kututembelea kwenye page yetu ya Instagram kuna mengi utajifunza ๐Ÿ‘‹
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—๐—”๐—ฃ๐—”๐—ก ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฅ๐—จ๐—›๐—จ๐—ฆ๐—จ ๐—ช๐—”๐—ง๐—”๐—™๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ž๐—จ๐—จ๐— ๐—•๐—” ๐—•๐—œ๐—ก๐—”๐——๐—”๐— ๐—จ

Dunia na maajabu yake ๐Ÿ˜ณ
Tunakoelekea Kunatisha Teknolojia inazidi kuleta Mambo ya Ajabu ulimwenguni ๐Ÿ‘‹

Thread ni yako
Repost
Follow
Likes iwafikie wengi Tujifunze ๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Mfumo huo ambao unakusanya viungo vya Wanyama na binadamu

ili kuweza kukuza viungo vya binadamu ndani ya mnyama kwa njia ya kupandikiza.

Watafiti hao wakiongozwa na Jamaa mmoja anaitwa Hiromitsu Nakauchi.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Sheria mpya imeruhusu utafiti huo kukuza hadi kuwa mnyama binadamu kamili, hivyo kuzua mijadiliano mikali kati ya Sayansi ya Matibabu na uumbaji wa Mungu.

Tunakokwenda kunatisha ๐ŸŒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Nchini Japan mwaka 2019 waliweza

kupitisha Utafiti kwa kuweza
kuwaruhusu

Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Bado kuna wasiwasi wa kimaadili unaweza kujitokeza kuhusu kuchanganya Seli za kibinadamu na Wanyama haswa kwenye ukuaji wa Ubongo.
Hisa za Nvidia zimeshuka, lakini Nvidia imeikumbusha DeepSeek kuwa bado mafanikio yake yanategemea GPU za Nvidia.

Nvidia imesema mapinduzi ya AI hayaendeshwi na ndoto tu.

DeepSeek tayari inapata changamoto za watumiaji wengi lakini inajitahidi kupambana na fitna zilizopo
Nvidia imeweka kozi zote bure leo! ๐Ÿš€
Adobe itaongeza gharama zake, kuanzia mwezi ujao
๐Ÿ†• Nothing Phone (3a) - tetesi zinaonyesha itakuwa na kioo kikubwa cha 6.8 na 50MP katika lens yake ya Telephoto.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

#NK| Huyu ndo mfalme wa AI ChatGPT wakasome!!
7+ Years of Experience.
Kujiunga na masomo ya kulipia : https://forms.gle/pLEBEPuZgsoPLew7A
===

Hapa ni ulimwengu wa Teknohama (IT (Information Technology)) karibu ujifunze nasi Computer kutokea zeero mpaka kuwa More Than Professional.
-----------

#NK| Huyu ndo mfalme wa AI ChatGPT wakasome!!

-----
- Channel yetu mpya ya Shorts: https://www.youtube.com/channel/UCifYOx_oQuq9__OnyUE4K9A
- NK on TIKTOK : https://www.tiktok.com/@nk_tok1?lang=en

----
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

INSANE ARMORED VEHICLES FROM AROUND THE WORLD
Armor and wheels! Sounds like the title of an action movie, doesn't it? But it's actually the topic of today's video. These beasts can withstand everything, from gunfire to tornadoes! If you've got any doubts, the creators of these armored vehicles will put them to rest by testing them right in front of your eyes. Get ready for an incredible ride!

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting vi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

THIS Python Feature Is Actually Quite Cool
This Python feature is actually quite cool.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Ilikua mwaka 2023 Jamaa mmoja anaitwa Wycliffe Moenga akiwa na umri wa miaka 30 aliweza kudukua mifumo ya Serikali ya kenya kwa kufanikiwa kuongeza jimbo moja jingine kwenye mfumo wa Serikali.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Aliweza kuongeza jimbo ilo la Ombogo kusini mwa Nyamira na kufanikiwa kujiajiri kama Mbunge wa Eneo hilo.

Jamaa huyo kutoka Narok alifanikiwa kupokea Malipo ya Mwezi mmoja na marupurupu yote ya allowance akiwa mbunge.

Alikamatwa na kushtakiwa ๐Ÿ‘‹.