Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.6K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Jambo la Nne: Unapookoa epuka kufanya shughuli usiyop na utaalamu nayo, Mfano kuingia kwenye gari linalofuka moshi, kujaribu kumkwamua aliyenaswa kwa kumvuta au kujaribu kumnyosha majeruhi.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗜𝗞𝗜𝗧𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗔𝗝𝗔𝗟𝗜 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗬𝗔𝗙𝗨𝗔𝗧𝗔𝗬𝗢

Umeshawahi kushuhudia ajali mahali ? Je ilipotokea Ajali ulifanya jambo gani?
Leo nakujuza mambo muhimu ys kufanya inspotokea Ajali👋

Thread ni yako
Repost
Likes || follow ✍️
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Takwimu mbalimbali zinasema kwamba watu wengi wanafariki kipidi kati ya tangu ajali inapotokea hadi kufikishwa hospitali. Na baadhi yao wanaofariki katika kipindi hicho kwa kukosa huduma.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

💨 Jambo la Kwanza: Toa taarifa kituo cha karibu cha Polisi, Kwa DTO, RTO au Traffiki Makao Makuu kwa nambari 0682 887722 na pia Zimamoto na Uokoaji kwa nambari 114.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

💨 Jambo la Tatu: Anza kuokoa majeruhi ili wawahishwe hospitali waliokufa watashughulikiwa baadae.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Jinsi ya Kufikia na Kubadilisha Value Katika Array | Hatua kwa Hatua Jifunze C++
Katika video hii, utajifunza jinsi ya kufikia (Accessing) na kubadilisha(Modifying) thamani (Values) zilizomo ndani ya array katika C++. Tutachambua mifano rahisi na kuonyesha hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kushughulikia data ndani ya array kwa usahihi. Hii ni dhana muhimu kwa kuandika programu zinazohusisha data nyingi!



🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohame
🆕 Instagram imetangaza kuwa watumiaji muda si mrefu wataweza kutengeneza Reels zenye urefu wa hadi dakika 3.
Fikiria kama Windows 11 ingekuwa imetoka mwaka 2011... Interface ya mwonekano wa Glass, Start Menu mpya, na bado tukitumia Internet Explorer 9! #RetroTech
Umewahi kujiuliza kwa nini app ya kupima vipimo (Measure app) ni sahihi au sio sahihi? 📏🤔 #Teknolojia #MaswaliYaKawaida
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Iterating Through an Array Katika C++ | Hatua kwa Hatua na Mfano Rahisi Jifunze Programming
Katika videoii, utajifunza jinsi ya kurudia (iterate) kupitia array katika C++ kwa kutumia for loop. Tutaeleza kwaatua na kuonyesha mfano wa kuchapisha element kutoka kwenye array. Ni somo muhimu kwa mtu yeyote anayetaka kuelewa jinsi ya kufanya kazi na data nyingi kwenye programu zao!



🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, naapa utajifunza
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

EXPENSIVE SUPERCAR FAILS CAUGHT ON CAMERA
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Kwenye page ya @picabuzz , katika siku chache zilizopita walifanikiwa kunasa picha nzuri yenye kupendeza wakati wa usiku baada ya kuona sayari zote ziliweza kuonekana kwa macho mida ya usiku.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Kuanzia januari 25 utaweza kuziona sayari zaidi ya sita zikijipanga mstari mmoja mnyoofu kikamilifu mida ya usiku. Ikiwa unahitaji kushaanga jambo hili basi leo usiku ukifanikiwa kuangalia Angani utaweza kuziona sayari.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗦𝗮𝘆𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝟲 𝗸𝘂𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗹𝗲𝗼 𝘂𝘀𝗶𝗸𝘂

Leo utaweza kuona kitu ambacho Ukuwahi kukiona kwenye maisha yako kwa mara ya kwanza unakiona Live

Unajua leo utaweza kuziona Sayari Sita live kupitia macho yako 👋
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

RT @gabyconscious: Kama una muda kesho tusomane UDSM🫵🏾✌🏽
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Unaweza tumia kamera📸 ya simu yako kuona kwa ukaribu zaidi hapa utakua umetisha itaweza kujitokeza kuanzia tarehe 25 Januari hii mpaka kufikia kati kati ya mwezi Februari mwaka huu 2025.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Najua kuna sayari unatamani kuiona live kupitia macho yako mida usiku angani? Kwangu mimi huwa nafurahi sana kuiona sayari ya Saturn 🪐 ikiwa na pete yake aisee sijui wewe unapenda ipi tuachie maoni yako ?

@Bongotech255
Credit to @NASA
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

LIFE HACKS FOR DRIVERS THAT YOU SHOULD KNOW
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
📈📊 Hizi ni kampuni ambazo zimeongoza mwaka wa 2024 kwa kufanikiwa kupata faida kubwa zaidi