〽︎ Teknolojia
bongotech2⁵5🎮🛜
𝗞𝗮𝗺𝗮 𝘄𝗲𝘄𝗲 𝗻𝗶 𝗣𝗵𝗼𝘁𝗼𝗴𝗿𝗮𝗽𝗵𝗲𝗿 𝗯𝗮𝘀𝗶 𝗵𝗶𝗶 𝗶𝗱𝗲𝗮𝘀 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗳𝗮𝗮 𝗮𝘂 𝘂𝗻𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮𝗷𝗲!!!
Hii idea unaweza tumia kuonyesha usanii wako na kujingizia pesa ikiwa wewe ni Mwana sanaa...👋

Anaitwa lito ni msanii wa kijapani aliyejifundisha mwenyewe kuunda sanaa za kipekee kupitia mfumo wa kuchonga vitu kwa mkono kupitia majani na kuyatengenezea stori kwa kuzipiga picha toka mwaka 2020.

Anasema huchuna majani kwa uwangalifu mkubwa na kuunda tafsiri za picha kwa namna za kipekee kuanzia picha wanyama, watu, vitu na mandhari.

Utaratibu huo alianzia mwaka 2020 kwa kuchukua majani ya miti yaliyoanguka kisha utengeneza vitu kwa kuwapa mashabiki zake hisia fulani labda kutafakari juu ya picha iliyopigwa kupitia matukio tofauti tofauti.

Licha ya kutumia majani lakini anaonyesha Dunia jinsi gani unaweza tumia Majani kuonyesha Sanaa mbalimbali kwa watu na kuziuza vizuri tu💰.
Credit to @lito_leafart
Angalia picha zingine 👇

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
. Array Katika C++: Kwanini Tuitumie, Declare na Initialize Array | Jifunze Programming
Katika video hii, utajifunza kuhusu array katika C++. Tutaeleza kwa nini array ni muhimu, jinsi ya kuitengeza (declare), na kuiwekea values (initialize). Mifano rahisi itakusaidia kuelewa matumizi ya array kwa ajili ya kuhifadhi na kushughulikia data nyingi kwa ufanisi zaidi.
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥
Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu:

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
SPACE-SAVING AMAZON GADGETS FOR TINY APARTMENTS
1 Pipishell https://tinyurl.com/8pp3uak3
2 Drying Rack https://tinyurl.com/2dhp9fn7
3 Sink Caddy https://tinyurl.com/37e2raf2
4 Spice Rackhttps://tinyurl.com/48uh4nyr
5 IIIOIIIA https://tinyurl.com/vpbrr24y
6 Storage Cart https://tinyurl.com/4ak34zks
7 Water Filter https://tinyurl.com/mw5andp5
8 Osmosis https://tinyurl.com/nvtwjdx4
9 Folding Desk https://tinyurl.com/knnjs4d5
10 Storage Bin https://tinyurl.com/msjfsvsf
11 Lamp https://tinyur

Channel Updates + Free Python Course Giveaway
Become a channel member today: https://www.youtube.com/channel/UCuudpdbKmQWq2PPzYgVCWlA/join
Free course application: https://forms.gle/92hr7z9t2UpttKY98
▶ Become job-ready with Python:
https://www.indently.io
▶ Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

kufanya hivyo unaweza au ukawa unahatarisha maisha yako au unazidi kuhatarisha maisha ya majeruhi. Unaweza kumvuta mguu au kichwa ukijua unamsaidia kumbe umeshaharibu mishipa ya fahamu

watu wengi wamekua watu wa ajabu sana inawezekana ikatokea mahali Ajali watu wengi wanaangika kuchukua vitu vya pale wala sio kusaidia waathrika sasa leo nakuambia Mambo muhimu Ikitokea ajali yafanye.

Pia wakati mwingine kupata huduma isiyo sahihi. Zingatia, anayeanza kumhudumia majeruhi ndiye anayeathiri hatima ya maisha yake.
Usalama Barabarani ni Jukumu Letu Sote 👋
Kikubwa zaidi usisahau kutu follow kujifunza zaidi ✍️ @Bongotech255

Jambo la Nne: Unapookoa epuka kufanya shughuli usiyop na utaalamu nayo, Mfano kuingia kwenye gari linalofuka moshi, kujaribu kumkwamua aliyenaswa kwa kumvuta au kujaribu kumnyosha majeruhi.

𝗜𝗞𝗜𝗧𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗔𝗝𝗔𝗟𝗜 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗬𝗔𝗙𝗨𝗔𝗧𝗔𝗬𝗢
Umeshawahi kushuhudia ajali mahali ? Je ilipotokea Ajali ulifanya jambo gani?
Leo nakujuza mambo muhimu ys kufanya inspotokea Ajali👋
Thread ni yako
Repost
Likes || follow ✍️

Takwimu mbalimbali zinasema kwamba watu wengi wanafariki kipidi kati ya tangu ajali inapotokea hadi kufikishwa hospitali. Na baadhi yao wanaofariki katika kipindi hicho kwa kukosa huduma.

💨 Jambo la Kwanza: Toa taarifa kituo cha karibu cha Polisi, Kwa DTO, RTO au Traffiki Makao Makuu kwa nambari 0682 887722 na pia Zimamoto na Uokoaji kwa nambari 114.