Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

lengo lao kubwa ni kuongeza maisha ya mwanadamu kwa muongo mmoja kutokana na kuwawekea seli aina ya sterm seli.

Muundo huu ufanya kazi ya kuondoa seli za zamani za mwili wako zilizokosa protini ambapo upokea seli mpya aina ya sterm zinazoweza kubadilika.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Kampuni ya OpenAi imezindua muundo wake wa kwanza wa AI iliyoundwa kutokana data za kibaiologia haswa kwa kukuongezea protini mwilini.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗞𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗢𝗽𝗲𝗻𝗔𝗶 𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝘇𝘂𝗶𝗮 𝗺𝘁𝘂 𝗸𝘂𝘇𝗲𝗲𝗸𝗮

Dunia na maajabu yake kuna wakati unajiuliza watu Weupe wanawazaga nini 🏃‍♂️🏃‍♂️ au hawaamini kama Kuna kufa

Uzi ni wako 👇
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Mfumo huo unaitwa GPT - 4b Micro yenye uwezo wa kuimarisha mwili wako kwa kuondoa seli za kawaida na kuweka stem seli ambazo inakupa uwezo wa kuzuia kuzeeka na kuzaliwa upya.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Mradi huo ulianzishwa kwa ushirikiano wa Retro bioscience ambayo ni kampuni inayojihusisha na utafiti wa maisha marefu kwa binadamu wakishirikiana na.....
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Watakua na urefu wa mita 0.5 mpaka 2, roboti hizo zitazokuwa zinajiendesha zenyewe na zingine zikicontroliwa na remote zimepewa ruhusa ya kubadilishiwa betri wakiwa kwenye mashindano.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

China inajiandaa na mbio za marathon za Dunia za kwanza zitakazoshirikisha binadamu na Maroboti ambayo yatafanyika mwaka huu mwezi April katika wilaya Ya Daxing mjing Beijing.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗠𝗔𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗢𝗕𝗢𝗧𝗜 𝗡𝗔 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗗𝗔𝗠𝗨 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗞𝗔 𝗕𝗘𝗜𝗝𝗜𝗡𝗚

Hakika dunia inakwenda kasi sana Wachina wako seriously na Maroboti 😀 kabisa
Wameandaa shindano kali kati ya Binadamu na Maroboti.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Mbio izi za Marathoni nchi ya China inaangizia jinsi dunia inahitaji kubadilika ni wakati wa kutumia Roboti kushirikiana na binadamu huku nchi hiyo ikikabiliwa na idadi kubwa ya watu wengi.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Tukio litaweza kujumuhisha wanariadha 12,000 ambao ni binadamu na makumi ya maroboti yenye muundo wa humanoid zitakazo shindana kwenye mbio za maili 13.

Roboti zitakazo shiriki kwenye hizo mbio lazima zionekane kama binadamu zitatumia miguu miwili kukimbia.
Muda ni mchache, mambo ni mengi
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗞𝗮𝗺𝗮 𝘄𝗲𝘄𝗲 𝗻𝗶 𝗣𝗵𝗼𝘁𝗼𝗴𝗿𝗮𝗽𝗵𝗲𝗿 𝗯𝗮𝘀𝗶 𝗵𝗶𝗶 𝗶𝗱𝗲𝗮𝘀 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗳𝗮𝗮 𝗮𝘂 𝘂𝗻𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮𝗷𝗲!!!

Hii idea unaweza tumia kuonyesha usanii wako na kujingizia pesa ikiwa wewe ni Mwana sanaa...👋
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

5/9
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

8/9
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

7/9
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Anaitwa lito ni msanii wa kijapani aliyejifundisha mwenyewe kuunda sanaa za kipekee kupitia mfumo wa kuchonga vitu kwa mkono kupitia majani na kuyatengenezea stori kwa kuzipiga picha toka mwaka 2020.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Anasema huchuna majani kwa uwangalifu mkubwa na kuunda tafsiri za picha kwa namna za kipekee kuanzia picha wanyama, watu, vitu na mandhari.