Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
JAW-DROPPING DANGEROUS OVERSIZE CARGO TRANSPORTATION OPERATIONS
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
.1 Virusi vya Kompyuta: Virus ni nini, Madhara Yake, na Jinsi ya Kujikinga!(Malicious Software)
Virusi vya Kompyuta: Jifunze Kuhusu Aina Hii ya Malware na Jinsi ya Kujikinga!
Je, unajua virusi vya kompyuta ni nini na jinsi vinavyoathiri vifaa vyetu? Katika video hii, nimekufundisha kila kitu unachohitaji kujuau virusi vya kompyuta, jinsi vinavyoenea, madhara yake, na hatua unazoweza kuchukua ili kujilinda.
Nitakueleza kwa lugha nyepesi na mifano halisi kama:
๐ขVirusi maarufu kama ILOVEYOU na ma

๐ Tetesi zinaonyesha mpya wa iOS 19 mwaka huu katika iPhone, utakuwa na mwonekano mpya katika app ya Camera.
Tetesi zinaonyesha itakuwa na mwonekano kama wa visionOS ambayo inatumika katika Vision Pro.
Tetesi zinaonyesha itakuwa na mwonekano kama wa visionOS ambayo inatumika katika Vision Pro.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
How to Insert and Position a Picture in Microsoft Word โ Easy Step-by-Step Guide!
In this tutorial, weโll walk you through the simple and effective steps to insert a picture into your Microsoft Word document and position it exactly the way you want. Whether you're creating a report, essay, or just adding some flair to your document, this video covers everything you need to know!
๐น What Youโll Learn:
๐ขHow to easily insert pictures into your Word document.
๐ขStep-by-step instructions for resizing

๐ WhatsApp itaanza kuruhusu kuchapisha Status zako moja kwa moja kwenye Stories za Facebook au Instagram.
Trump: Marekani Kuwekeza Dola Bilioni 500 Katika AI Ili Kujihakikishia Utawala wa Sekta Hiyo.
๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
Trump: Marekani Kuwekeza Dola Bilioni 500 Katika AI Ili Kujihakikishia Utawala wa Sekta Hiyo.
Katika harakati za kuhakikisha Marekani inaongoza sekta ya akili mnemba (AI), Rais wa zamani Donald Trump ametangaza mpango kabambe wa uwekezaji wa dola bilioni 500. Mradi huu, unaojulikana kama โThe Stargate Project,โ unalenga kujenga miundombinu ya kisasaโฆ
ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
lengo lao kubwa ni kuongeza maisha ya mwanadamu kwa muongo mmoja kutokana na kuwawekea seli aina ya sterm seli.
Muundo huu ufanya kazi ya kuondoa seli za zamani za mwili wako zilizokosa protini ambapo upokea seli mpya aina ya sterm zinazoweza kubadilika.

Kampuni ya OpenAi imezindua muundo wake wa kwanza wa AI iliyoundwa kutokana data za kibaiologia haswa kwa kukuongezea protini mwilini.

๐๐ฎ๐บ๐ฝ๐๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐ข๐ฝ๐ฒ๐ป๐๐ถ ๐ถ๐บ๐ฒ๐ธ๐๐ท๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ธ๐ถ๐น๐ถ ๐ฏ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐ฎ ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐๐ถ๐ฎ ๐บ๐๐ ๐ธ๐๐๐ฒ๐ฒ๐ธ๐ฎ
Dunia na maajabu yake kuna wakati unajiuliza watu Weupe wanawazaga nini ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ au hawaamini kama Kuna kufa
Uzi ni wako ๐

Mfumo huo unaitwa GPT - 4b Micro yenye uwezo wa kuimarisha mwili wako kwa kuondoa seli za kawaida na kuweka stem seli ambazo inakupa uwezo wa kuzuia kuzeeka na kuzaliwa upya.

Mradi huo ulianzishwa kwa ushirikiano wa Retro bioscience ambayo ni kampuni inayojihusisha na utafiti wa maisha marefu kwa binadamu wakishirikiana na.....

Watakua na urefu wa mita 0.5 mpaka 2, roboti hizo zitazokuwa zinajiendesha zenyewe na zingine zikicontroliwa na remote zimepewa ruhusa ya kubadilishiwa betri wakiwa kwenye mashindano.

China inajiandaa na mbio za marathon za Dunia za kwanza zitakazoshirikisha binadamu na Maroboti ambayo yatafanyika mwaka huu mwezi April katika wilaya Ya Daxing mjing Beijing.

๐ ๐๐ฆ๐๐๐ก๐๐๐ก๐ข ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ฅ๐ข๐๐ข๐ง๐ ๐ก๐ ๐๐๐ก๐๐๐๐ ๐จ ๐๐จ๐๐๐ก๐ฌ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ก๐
Hakika dunia inakwenda kasi sana Wachina wako seriously na Maroboti ๐ kabisa
Wameandaa shindano kali kati ya Binadamu na Maroboti.