Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Usisahau kutu follow kujifunza mengi kuhusu Teknolojia, Ai na habari za Dunia kwa ufupi kila siku

@Bongotech255
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ 2034 Mvua ya kimondo
Tunaita leonid Meteor shower ambapo itakua mlipuko mkubwa wa mvua wa vimondo mkali mwaka 2034 ikiwa na dhoruba ya nyota zaidi 100,000 zitakazo sambaa angani na kupasuka pasuka kwa kishindo.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Septemba 8 2040
Utaweza kuona kupitia macho yako sayari zikijipanga kwenye Uso wa dunia kuanzia Mercury, Venus, Mars, Jupiter na Saturn ๐Ÿช ambapo mwezi utawekwa kati kati ya sayari ya Venus na Saturn.
X/Twitter itaweka sehemu mpya maalum ya videos.

Sehemu hii itachukua nafasi ya tab ya Communities, na tab hiyo itaondoka na itakuwa tab ya videos ambayo ina icon ya Play.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Programu ya C++: Mfano wa Program ya Kuendelea Kupokea Namba Hadi Unapoingiza namba Hasi
Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kuandika programu kwa kutumia while loop katika C++ ambayo inaruhusu mtumiaji kuingiza namba mara kwa mara hadi aweke namba hasi. Video hii ni muhimu kwa wanafunzi wa programming wanaotaka kuelewa jinsi ya kushughulikia ingizo la mtumiaji na kuacha loop kwa kigezo maalum.

Utaelewa:
๐ŸŸขJinsi ya kutumia while loop kwa hali ya kuendelea kupokea data.
๐ŸŸขJinsi ya kuchunguza in
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐˜†๐—ผ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฒ๐˜‚๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—ป ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ

Umeshawahi kujiuliza nini kitatokea ikiwa Nyota aina ya Nyutroni kipande chake kikawekwa kwenye ardhi ya Dunia ๐Ÿ˜ณ

Sio poa ๐Ÿ‘‡โ˜„๏ธ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Kijiko tu cha nyota ya nyutroni kinaweza kugawanyika kuwa protoni na neutroni na kutoa nishati nyingi kama vile Jua hutoa kwa sekunde chache.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Ikitokea kipande cha nyota ya neutron kingetokea Duniani, basi ingesababisha mlipuko mkubwa ambao ungeifanya sehemu kubwa ya sayari (Dunia) kuwa mvuke.

Unajua kwanini Ikitokea nyota ya Neutron ikija duniani basi sehemu kubwa ingekua Mvuke;
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Nyota hizo zina nguvu ya Sumaku zenye nguvu sana.

๐Ÿ’จ Ile Nguvu ya mvutano ya nyota ya nyutroni inaweza kusababisha maafa ya mawimbi ambayo yangeharibu Dunia sehemu kubwa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Nyota ya Neutron ni nyota nene sana yani kile kijiko cha chai cha kipande cha nyota hiyo kina uzito zaidi ya Tani milioni 10.

๐Ÿ’จ Nyota ya nyutroni zina mvuto mkali, uzito wa nyota ya nyutroni ina nguvu sana kiasi kwamba mwanga wake unaweza kuzunguka pande zote za dunia.
๐Ÿ†• Samsung inaunda sensor mpya ya 200MP maalum kwa kamera ya Telephoto

Mfano katika Galaxy S24 Ultra mpaka leo inatumia sensor ya 10MP lakini lens ya kamera ya Wide ndio inatumia 200MP na Periscope inatumia 50MP.

Vivo na Honor tayari zinatumia 200MP Telephoto
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

I Didn't Know Python Sets Could Do THIS
I didn't know Python sets could do this.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

JAW-DROPPING DANGEROUS OVERSIZE CARGO TRANSPORTATION OPERATIONS
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

.1 Virusi vya Kompyuta: Virus ni nini, Madhara Yake, na Jinsi ya Kujikinga!(Malicious Software)
Virusi vya Kompyuta: Jifunze Kuhusu Aina Hii ya Malware na Jinsi ya Kujikinga!

Je, unajua virusi vya kompyuta ni nini na jinsi vinavyoathiri vifaa vyetu? Katika video hii, nimekufundisha kila kitu unachohitaji kujuau virusi vya kompyuta, jinsi vinavyoenea, madhara yake, na hatua unazoweza kuchukua ili kujilinda.

Nitakueleza kwa lugha nyepesi na mifano halisi kama:
๐ŸŸขVirusi maarufu kama ILOVEYOU na ma
๐Ÿ†• Tetesi zinaonyesha mpya wa iOS 19 mwaka huu katika iPhone, utakuwa na mwonekano mpya katika app ya Camera.

Tetesi zinaonyesha itakuwa na mwonekano kama wa visionOS ambayo inatumika katika Vision Pro.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to Insert and Position a Picture in Microsoft Word โ€“ Easy Step-by-Step Guide!
In this tutorial, weโ€™ll walk you through the simple and effective steps to insert a picture into your Microsoft Word document and position it exactly the way you want. Whether you're creating a report, essay, or just adding some flair to your document, this video covers everything you need to know!

๐Ÿ”น What Youโ€™ll Learn:
๐ŸŸขHow to easily insert pictures into your Word document.
๐ŸŸขStep-by-step instructions for resizing
๐Ÿ†• WhatsApp itaanza kuruhusu kuchapisha Status zako moja kwa moja kwenye Stories za Facebook au Instagram.