Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿ†• TikTok imerejea na kurudisha huduma zake nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu app hiyo kuendelea kufanya kazi Marekani. https://twitter.com/TikTokPolicy/status/1881030712188346459#m
๐Ÿ‘1
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Bibi huyo alifanikiwa kununua kompyuta yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 60 alipolazimika kustaafu baada kufanya kazi kwenye benki zaidi ya miaka 43.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kupitia jarida la TEDX tokyo alielezea jinsi alivyoanza kompyuta yake kwa kuanza kuzungumza mitandaoni akafanikiwa kufungua tovuti inayokufundisha Matumizi ya Excel na Microsoft office hatua kwa hatua.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

KUTANA NA BIBI MWENYE UMRI WA MIAKA 81 ALIYEUNDA GAME MWENYEWE BAADA YA KUJIFUNZA PROGRAMMING LANGUAGE MWANZO MPAKA MWISHOโœ๏ธ

THREAD ๐Ÿ‘‹
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Bibi huyo kutoka Japan sasa amekua ni mmoja wa wasaidizi kwenye kampuni ya apple dhidi ya uundaji na utengenezaji wa program za iphone.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Jinsi ya Kutafuta Wastani wa Data zako Katika Excel kwa Kutumia AVERAGE
Katikao hii, utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutumia fomula ya AVERAGE katika Microsoft Excel ili kutafuta wastani wa takwimu zako kwa haraka na kwa usahihi. Ikiwa wewe ndio kwanza unaanza kujifunza MS Excel au unataka kuboresha ujuzi wako wa Excel,o hii ni kwa ajili yako!

โœ… Utajifunza nini?
๐ŸŸขJinsi ya kuandika na kutumia fomula ya AVERAGE
๐ŸŸขMfano wa vitendo wa kutafuta wastani wa takwimu kwenye Excel
๐ŸŸขMbinu rahisi na za
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Baada ya Binti yake kupata ajali ya gari alikua anasumbuliwa na Maumivu ya mkono ambapo alipoweza kuripoti kituo Cha hospital kitengo cha dharura na mtaalamu wa radiolojia walimuangalia kwenye X ray lakini hawakuona mvunjiko wowote.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Wiki kadhaa iliyopita mama mmoja aliweza kuisifu chati boti ya Elon musk, kwa kuweza kutambua kuvunjika mkono binti yake baada ya wataalam bingwa wa Matibabu kushindwa kujua.
๐Ÿ‘1
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

BAADA YA MADAKTARI KUSHINDWA KUJUA AMEVUNJIKA MAENEO GANI AKILI BANDIA YA GROK IMEWASAIDIA KUJUA MFUPA ULIOVUNJIKA๐Ÿ˜ณ

Tunakoelekea kuna hatari ya Teknolojia ya AI kuweza kuchukua nafasi kwenye kazi mbalimbali

Thread ni yako ๐Ÿ‘‹
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Lakini Mama huyo aliamua kutumia akili bandia ya chati boti ya Grok ndipo ilipomuonyesha mvunjiko kwenye mkono wa mbali. Baadae wataalamu wakapima Tena kwenye X ray ndipo walipofanikiwa kuona mvunjiko huo na kuweza kumfanyia upasuaji.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu nafasi ya AI inavyoongezeka katika uchunguzi wa kimatibabu.

Ebu tuambie umeshawahi kutumia Chati boti ya Grok ๐Ÿ˜Ž
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ 2025 โ˜„๏ธsolar storm
Hiki ni dhoruba la jua ambalo litaweza kuikumbuka dunia watu wataweza kuona dunia itakumbwa na dhoruba ya jua kuwa kali mara kumi yake.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ 2027 kupatwa kwa jua kurefu zaidi
Hii tunaita LONGEST SOLAR ECLIPSE ambapo jua litapatwa itachukua muda mrefu zaidi itachukua dakika 6 na sekunde 33 itakua Agosti ambapo mara ya mwisho kutokea kupatwa kwa jua ilikaa muda mrefu ni mwaka 2009 na nyingine itatokea mwaka 2114.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Safari ya Mercury kwenye Jua
Novemba 7 2039 kutakua sayari ya Mercury itaweza kusafiri kwenye uso wa jua, usafiri huo utaweza kuonekana kwenye sehemu fulani ya dunia ambapo baadhi ya nchi wataweza kuona safari hiyo ya Mercury.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Haya ni matukio adimu sana yatatokea kuhusu sayari na Anga kwa ujumla ambayo yatajitokeza dunia kwa miaka 15 mpaka miaka 100 ijayo watu wengi mtashangaa Maajabu ya Sayari zilizoumbwa na Mwenyezi Munguโœ๏ธ.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ 2029 Apophis Asteroid
Hili ni jiwe kubwa jeusi litaweza kujitokeza kwenye Dunia na kuweza kuonekana ambayo huzunguka Jua na kuja karibu Dunia iligundulika mwaka 2004 inajulikana kama 99942 Apophis.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Usisahau kutu follow kujifunza mengi kuhusu Teknolojia, Ai na habari za Dunia kwa ufupi kila siku

@Bongotech255
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ 2034 Mvua ya kimondo
Tunaita leonid Meteor shower ambapo itakua mlipuko mkubwa wa mvua wa vimondo mkali mwaka 2034 ikiwa na dhoruba ya nyota zaidi 100,000 zitakazo sambaa angani na kupasuka pasuka kwa kishindo.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Septemba 8 2040
Utaweza kuona kupitia macho yako sayari zikijipanga kwenye Uso wa dunia kuanzia Mercury, Venus, Mars, Jupiter na Saturn ๐Ÿช ambapo mwezi utawekwa kati kati ya sayari ya Venus na Saturn.