Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.6K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Inawezekana umewahi ku-subscribe katika huduma za kulipia mfano apps na ukashangaa bado unaendelea kukatwa pesa na sehemu ya kujitoa imefichwa na inakuwa vigumu kujitoa katika huduma hiyo.

Tatizo hili soon litaisha!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

COOL MINI GADGETS YOU'LL WANT TO BUY
1) CYBRBRACEs/cybr/cybrbrace

2) Kimtows/925436646/kimtow-turn-your-phone-to-optical-telephoto-shooting-tool

3) SPERAS U3s/speraslight/u3-magnetic-edc-flashlight-red-light-uv-laserside-light

4) Hilight WideX Lamps/hilight/widex-lamp-illuminate-every-corner-of-your-desk

5) Twelvetooos/86816116/twelvetooo-a-mini-3d-holographic-projector-for-your-home

6) Looktech AI Glassess/looktech/looktech-smart-ai-glasses-and-hands-free-hd-camera

7) DEFI Smart Pil
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Make Book Cover Mockup Using DALL·E 3
Learn how to make book cover mockup using DALL·E 3 fast and easy in this step-by-step guide! Whether you're a designer, author, or just curious about creating stunning book covers, this tutorial will show you how to unleash the power of AI to design professional-quality mockups. From selecting your artwork to generating the perfect book cover, you'll discover tips and tricks to make your project stand out. Plus, explore advanced customization techniqu
Zote ni projector maalum ambazo zinaweza kuhimili mwanga na ukizima mtu hawezi kufahamu TV ipo wapi kwa sababu zinaonekana ni vifaa vya kawaida tu mezani.

Pia zinatumia mfumo wa webOS kama SmartTV za LG na pia zina sehemu za kuchomeka HDMI, DisplayPort na kuunganisha na simu
CineBeam S inaweza kutumika kama SmartTV ya 4K UHD (3,840 x 2,160), inatumia teknolojia ya Laser(RGB) na resolution yake ni kubwa kama smartTV.
LG imezindua projector maalum ambayo ni inaweza kutumika kama TV ya 4K, Bluetooth Speaker na taa ya nyumbani.

SmartTV za miaka ijayo sio flat screen ila ni kifaa kidogo ambacho kina uwezo wa kuonyesha ubora wa 4K kwa ukubwa ambao unataka wewe (inches 40 mpaka 100).
PF600U ina resolution ya FHD (1,920 x 1,080) na inatumia LED (RGBB) na bei yake ya kawaida.

Ipo kama taa ya kawaida ya nyumbani lakini ni inaweza kutumika kama SmartTV, spika ya bluetooth au kama taa ya kawaida.
1
RTX-50 zilizotoka ni RTX 5090 ($1,999); RTX 5080 ($999); RTX 5070 Ti ($749); RTX 5070 ($549). Zinatumia double flow fans, zinaweza kuhamisha 1.7TB kwa sekunde, CUDA Cores zaidi ya 21,700, na zina nguvu kubwa katika games na graphics.