Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 7 Snapdragon testpoint frp bypass
Xiaomi redmi note 7 Snapdragon testpoint frp bypass
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow
Umewahi kufahamu kuwa sehemu ya Dynamic-Island ina kipimo sawa na pin ya kutolea SIM Card kwenye iPhone?
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How Design Logos Using Dall E 3
Are you ready create stunning logos with ease? In this video, we show you how design logos using Dall-E 3 step by step. From understanding the basics generating professional-grade designs, this tutorial has it all! Whether you're a beginner or a seasoned designer, you'll discover tips, tricks, and techniques harness the power of AI and make your creative visions come life. Don't miss out on learning how simplify the design process while creating logos that truly s
Kuanzia Januari 14, app na website zote zitalazimika kuweka urahisi kwa watumiaji ku-cancel subscription.

Zitalazimika kuweka hatua ya kujitoa katika huduma za kulipia iwe ni hatua ya kubonyesha mara moja (one-click).
Pia, biashara zinatakiwa kupata idhini ya wateja kabla ya kugeuza usajili kutoka kwenye majaribio ya bure hadi kuwa malipo ya kudumu.

Mfano baada ya siku 7 za Trials, ndio uulizwe kama unapendelea kulipia na haupendelei kujiunga na sio kukatwa pesa moja kwa moja
Inawezekana umewahi ku-subscribe katika huduma za kulipia mfano apps na ukashangaa bado unaendelea kukatwa pesa na sehemu ya kujitoa imefichwa na inakuwa vigumu kujitoa katika huduma hiyo.

Tatizo hili soon litaisha!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

COOL MINI GADGETS YOU'LL WANT TO BUY
1) CYBRBRACEs/cybr/cybrbrace

2) Kimtows/925436646/kimtow-turn-your-phone-to-optical-telephoto-shooting-tool

3) SPERAS U3s/speraslight/u3-magnetic-edc-flashlight-red-light-uv-laserside-light

4) Hilight WideX Lamps/hilight/widex-lamp-illuminate-every-corner-of-your-desk

5) Twelvetooos/86816116/twelvetooo-a-mini-3d-holographic-projector-for-your-home

6) Looktech AI Glassess/looktech/looktech-smart-ai-glasses-and-hands-free-hd-camera

7) DEFI Smart Pil
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Make Book Cover Mockup Using DALL·E 3
Learn how to make book cover mockup using DALL·E 3 fast and easy in this step-by-step guide! Whether you're a designer, author, or just curious about creating stunning book covers, this tutorial will show you how to unleash the power of AI to design professional-quality mockups. From selecting your artwork to generating the perfect book cover, you'll discover tips and tricks to make your project stand out. Plus, explore advanced customization techniqu
Zote ni projector maalum ambazo zinaweza kuhimili mwanga na ukizima mtu hawezi kufahamu TV ipo wapi kwa sababu zinaonekana ni vifaa vya kawaida tu mezani.

Pia zinatumia mfumo wa webOS kama SmartTV za LG na pia zina sehemu za kuchomeka HDMI, DisplayPort na kuunganisha na simu
CineBeam S inaweza kutumika kama SmartTV ya 4K UHD (3,840 x 2,160), inatumia teknolojia ya Laser(RGB) na resolution yake ni kubwa kama smartTV.
LG imezindua projector maalum ambayo ni inaweza kutumika kama TV ya 4K, Bluetooth Speaker na taa ya nyumbani.

SmartTV za miaka ijayo sio flat screen ila ni kifaa kidogo ambacho kina uwezo wa kuonyesha ubora wa 4K kwa ukubwa ambao unataka wewe (inches 40 mpaka 100).