Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.6K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Laini za Watoto Mbioni Kutua Bongo | Zijue Kwa Kina
Laini za Simu yaani SIM Card maalum kwaajili ya matumizi ya Watoto ambazo zimepangwa Kutua Bongo hivi karibuni Zijue Kwa Kina
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Want a full free Python course? (Apply now)
You can apply here: http://apply.indently.io
Thank you for a great 2024, looking forward to continuing in 2025 :)

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hizi Ni APPS BORA Za Kuscarn QR Codes Zozote ili Upate Maelezo
Kana hujawahi kutumia App yoyote ya kuscarn QR Code Basi huu ndio utakua mwanzo wako mzuri ili usihangaike unapotaka kufanya Hilo Zoezi angalia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung a24 a245f u5~u8 frp bypass / jtag plus
Samsung a24 a245f u5~u8 frp bypass / jtag plus
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ningumu Kuset SINGLE NAME Kama hukufata Hatua hizi kwenye Facebook
Trick hii imekuwa ni maarufu kwa Sasa kila Mtu anaweka Single name yaani Jina Moja tu la kumtafutia, kwenye Profile name yake ya Facebook account ningumu Sana Kuset hivi Kama haukufata Hatua hizi, Sio kufuta na kusave tu Jifunze
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

mini miner bitcoin case, Lucky Miner LV07, DIY Crypto Miner
It seems like you're asking about "Lucky Miner devices," which might be referring to hardware devices or tools used for cryptocurrency mining under the "Lucky Miner" brand.
mini miner bitcoin case, Lucky Miner LV07, DIY Crypto Miner
Product from here 👇
https://s.click.aliexpress.com/e/_ooOif6P
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【 https://ko-fi.com/in
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Designing the Inside Pages of the Book with Canva
Designing the Inside Pages of the Book with Canva

Discover how to create stunning and professional book interiors using Canva withr step-by-step guide. Whether you're a beginner or already familiar with Canva, this tutorial simplifies the process, guiding you through every detail of designing the inside pages of your book. You'll learn how to select the right dimensions, add visually appealing elements, format text perfectly, and ensure your boo
YouTube imeanza kupokea matangazo ya uongo na wizi
🆕 Kuanzia tarehe 1 January 2025; WhatsApp itaacha kufanya kazi katika simu za zamani za Samsung, Motorola, HTC, LG na Sony.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kusoma Online BUREEE | Notes kuanzia Primary hadi University
Baada ya kuangalia Video hii utakua Umejifunza kwa kiasi kikubwa Jinsi ya watu wanavyo endana na Technology kwenye upande huo wa elimu, Utazipata Notes zote Kuanzia Shule ya msingi, yaani Primary hadi Chuo kikuu yaani University au Courage kwa kutumia Simu za mkononi smartphone au computer na laptop utasoma Ukiwa nyumbani kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kupata | Notification Mtu aki Screenshot Conversation zako |
Hi ni Moja ya njia ya Kupata ulinzi na usalama wa message unapo wasiliana na mwenzako upande wa pili endapo anataka ku screenshot mazungumzo yenu kwa kengo lolote Basi upate taarifa kwenye simu yako
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS TOOLS YOU'LL WANT TO BUY
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Wanaanga waliokwama Angani kurudishwa Duniani Mwakani 2025 || Wanakula nini ??
Kuna wanaanga WAWILI waliweza kusafiri na kutoka nje ya dunia kupitia Chombo cha Boeing starliner lakini imrfika miezi sita sasa hawajarudi duniani ? Imekuwaje

Tizama hiyo video 😎 usisahau ku subscribe kwenye channel Yetu kujifunza mengi zaidi ✍️
Forwarded from Swahili News
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@HabariTz ✰✰✰

Tanzania yafanya majaribio ya injini za umeme majini
Watafiti wa nishati safi na mazingira nchini Tanzania wanafanya majaribio ya injini za umeme kwa ajili ya vyombo vya usafiri katika maji. Hii ikiwa ni hatua muhimu ya jitihada za kuanza safari ya mabadiliko kutoka matumizi ya injini za mafuta kwenye bahari, maziwa na mito kuelekea matumizi ya umeme.

VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

A145f isp pinout
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com