Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The cheapest Nobel ice maker repairing Technic



.
Nobel ice maker repair, add water error fixing using a quick epoxy adhesive.

This video shows you how to repair Nobel ice maker when it is not making ice and it is displaying add water error code instead.

Video link: https://youtu.be/qDjT3H4iTxo
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SATISFYING WOOD PROCESSES THAT YOU SHOULD SEE
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Malware: Programu Hasidi zenye Kuleta madhara (malicious software)
Video hii inazungumzia aina za malware (programu hasidi) kama vile virusi, worms, spyware, ransomware. Utajifunza jinsi malware inavyoathiri mifumo ya kompyuta hatua muhimu za kuchukua ili kujilinda dhidi ya mashambulizi ya programu hasidi.

Malware ni kifupisho cha "malicious software," kinachomaanisha programu yoyote au faili iliyoundwa mahsusi kuleta madhara kwa kompyuta, mtandao, au mtumiaji. Malware inaweza kuathiri vifaa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung M32 M325f U12 android 13 testpoint frp bypass
Samsung M32 M325f U12 android 13 testpoint frp bypass
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
tech
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Uchambuzi wa Infinix HOT 50 Pro Plus. Ifahamu simu hii nzuri kwa matumizi yote
Karibu Kona ya Teknolojia, leo tuko na ya HOT 50 Pro Plus hivyo basi tuangazie simu hii kutoka Infinix.

Mchambuzi wetu ametumia simu ya Infinix Hot 50 Pro Plus kwa zaidi ya siku mbili na amegundua mambo mengi ikiwemo aina mpya ya kamera, wembamba wa aina yake, namna inavyodumu na chaji, ufanisi wake na mambo mengine kadhaa.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how Build home solar battery backup 280Ah Home Energy Storage Smart 24V BMS
24v inverter 2300W test with maximum continuous discharging current 100ah battery
In conclusion, our 2300W 24V inverter with a 100Ah battery is able to power high-load devices efficiently, making it an excellent power backup solution for home or office use.

Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for more informative videos like this.
****************************
EVE 280Ah LiFePO4 Batt
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Making Coloring Pages with DALL E3 ( MidJourney and Leonardo AI )
In this video, we'll show you how to make coloring pages using DALL E3 from MidJourney and Leonardo AI. Get creative and start making your own custom coloring pages today!

Making Coloring Pages with DALL E3 ( MidJourney and Leonardo AI )
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SORA vs VEO 2 - AI Generated Videos
The AI Generated Video Wars have already begun
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Smartphone Awards 2024!
The best (and worst) smartphones of 2024!

MKBHD Merch: http://shop.MKBHD.com

Apple iPhone 16: https://geni.us/QOmf6
Samsung Galaxy S24 Ultra: https://geni.us/F4ARvL6
Google Pixel 9 Pro Fold: https://geni.us/BBBAI
RedMagic 10 Pro: https://geni.us/ztqMtDY
Apple iPhone 16 Pro: https://geni.us/ng6Fhth
Nothing Phone 2A: https://geni.us/mAhw
ASUS Zenfone 11 Ultra: https://geni.us/nLtr

Tech I'm using right now: https://www.amazon.com/shop/MKBHD

Playlist of MKBHD Intro music:
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

stencil
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Nested Loops Katika C++ | Ufafanuzi Hatua kwa Hatua - Jifunze Programming.
Katika video hii, utajifunza kuhusu nested loops katika C++. Tutachambua jinsi ya kutumia loops moja ndani ya nyingine na matumizi yake kwenye programu kama kuchora patterns na kushughulikia data nyingi. Hii ni hatua muhimu kuelekea kuandika programu ngumu zaidi kwa urahisi!



🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
PFHxA inaweza kutolewa kwa urahisi kutoka kwenye uso wa mikanda ya saa iliyotengenezwa kwa fluoroelastomers, ikisababisha uwezekano mkubwa wa kuhamia kwenye ngozi kupitia jasho na kuleta madhara kwa mvaaji.

PFHxA imehusishwa na kuwa sababu kubwa ya kansa na madhara kwenye mwili
Utafiti mpya umebaini kuwa mikanda ya saa za kisasa (smartwatch) zimejaa kemikali zenye sumu isiyoondoka kwenye mwili (forever chemicals)