Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• Tigo sasa imebadilishwa jina na kuwa Yas, hatua mpya kutoka AXIAN Telecom kuleta mshikamano wa chapa moja kwenye bara la Afrika.

Mitandao ya simu ya Telma, tiGo, free na Togocom sasa inakuwa ni brand moja inayotumia jina moja la 'Yas'.
πŸ”₯1
Google imeanzisha kipengele kipya cha 'Page Annotations' kwenye iOS kinachoweka links kwenye taarifa za maelezo ya Google Search.

Wamiliki wa tovuti wanaweza kujiondoa, lakini mchakato huo unaweza kuchukua hadi siku 30.
Tittle za kazi ambazo wanapewa wakati wa kuomba kazi ni "Call Center Agents"

Pia mikataba yao imekuwa ikificha mambo mengi na kutokuwa na uhalisia.
Asilimia kubwa ya watu ambao wanafanya kazi hizo wanalalamika kulipwa kidogo.

Wanapewa video na picha zenye maudhui ya ajabu ili kufundisha AI kutambua taarifa mbalimbali kwenye picha na video.

Mfano kupewa picha za kutisha, matusi, picha zisizo na maadili n.k.
Kampuni nyingine ya Kenya ambayo nayo imepewa malalamiko kama haya ni Scale AI ya Kenya

Ambayo nayo pia inawapa watu kazi za kuhakiki picha na video kwa matumizi ya kufundishia AI

Inasimamia website ya Remotask
πŸ†• Habari mpya za Samsung Galaxy S25 Ultra zimevuja!

πŸ“± Picha mpya zinaonyesha muonekano wa S-Pen na mfumo mpya wa One UI 7
Remotask inawapa Wakenya kazi kupitia mtandaoni, kazi za kufundishia AI kwa kujibu maswali, kutambua vitu kwenye picha na kurekebisha makosa ya AI

Imekuwa ikilalamikiwa kwa kufunga akaunti za watu muda mchache kabla ya payday kufika hivyo inakuwa kama imekimbia na pesa za watu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

NINI MAANA YA STAR LINK? (INTERNET YA ELON MUSK), HII NDIO MAANA YAKE
πŸ“œ Innovation for the future

we strive to educate you in the world of science. We're delighted to hear your thoughts.

Today’s episode looks at what the meaning of Elon Musk's internet is.

We greatly respect all YouTube policies and copyrights. We also appreciate your feedback as it's one way to improve our services.

message at Email: perfectsidetz@gmail.com
subscribe our channel πŸ””
KIPINDI...
MAANA YA INTERNET YA STAR LINK
Video ya Galaxy S25 Ultra ambayo imevuja mtandaoni https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1861707634996318400#m
πŸ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Ondoa Background ya Picha kwa Urahisi - Adobe Photoshop Tutorial
Karibu kwenye tutorial hii fupi na rahisi! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuondoa background ya picha ndani ya Adobe Photoshop kwa kutumia sehemu ya Properties -- Remove Background. Njia hii ni rahisi na inafaa sana kwa wanaoanza kutumia Photoshop au wale wanaotaka kufanya kazi zao kwa ufanisi na haraka.

Hakuna haja ya kutumia muda mwingi kwenye kuondoa background wewe mwenyewe manual! Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya ku