Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

assembling and running the cheapest Engine model V8 Engines , stirlingkit
You've never seen it before, building a small, high-speed cylinder engine.
Assemble and run your miniature 8 cylinder flat petrol engine!
assembling and running the cheapest Engine model V8 Engines , stirlingkit
Engine from here πŸ‘‡πŸ‘‡
https://www.stirlingkit.com/collections/new-arrivals/products/enjomor-1-6-scale-big-block-v8-engine-kits-that-works-fully-3d-printed?ref=rvnqi3sl

The Miniature Flathead 8 Cylinder Gasoline Engi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

CONSTRUCTION TIPS AND TRICKS THAT REALLY WORK
https://www.youtube.com/@dzengen

For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Data na Information: Tofauti na Umuhimu Wake Katika Teknolojia
Katika video hii, tunachunguza maana ya data na taarifa, tofauti kati ya hizo mbili, na jinsi zinavyotumika katika teknolojia ya habari. Utapata uelewa wa msingi kuhusu jinsi data inavyobadilishwa kuwa taarifa yenye maana kwa maamuzi bora.

⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

πŸŽ₯ Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! πŸŽ₯

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: πŸ”Ή Teknolojia
πŸ”Ή Afya
πŸ”Ή Mazingira
πŸ”Ή Sayansi
πŸ”Ή Motisha
...na me
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Samsung A05 A055F frp bypass by chimera tools
Samsung A05 A055F frp bypass by chimera tools
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.c
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya Kutuma Pesa kwa Haraka kwa Kutumia Tigo Pesa App | Mwongozo Kamili
🌟 Jifunze jinsi ya kutuma pesa kwa urahisi na haraka ukitumia Tigo Pesa App!
Katika video hii:
🟒Tutaelezea hatua kwa hatua jinsi ya kutumia Tigo Pesa App kutuma pesa kwa mtu yeyote.
🟒Utajifunza mbinu bora za kuhakikisha miamala yako iko salama.
🟒Video hii imekusudiwa kukusaidia kuokoa muda na kufurahia huduma bora za kifedha.

πŸ“Œ Mambo muhimu yatakayojadiliwa:
🟒Jinsi ya kuingia kwenye Tigo Pesa App.
🟒Namna ya kuingiza na
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Usiwaze kabisa kwamba ukitumia huishia kwenye safari pekee ! Bolt uhakikisha kwenye safari yoyote ile haupo pekee yako ! Na likitokea tatizo ipo kukusaidia kupitia @bolt_tanzania
Mwaka 2025, Apple ina mpango wa kutoa aina mpya ya iPhone ambayo itakuwa inaitwa iPhone Air.

Apple itaacha kutengeneza iPhone Plus na itahamia kwenye iPhone Air.

iPhone Air itakuwa kama iPhone XR lakini itakuwa flat. 2025 iPhone XR itakosa support ya updates mpya.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya Kubadilisha Password ya Router ya Airtel 5G Smartbox | Jiweke Salama
🌟 Jifunze jinsi ya kubadilisha password ya router yako ya Airtel 5G Smartbox kwa urahisi!

Katika video hii:
🟒Tutaonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuingia kwenye interface ya router yako.
🟒Utajifunza kubadilisha password ya ili kulinda mtandao wako dhidi ya matumizi yasiyoruhusiwa.

πŸ“Œ Mambo utakayojifunza:
🟒Namna ya kuunganisha router yako kwenye kifaa (laptop/kompyuta/simu).
🟒Jinsi ya kufikia interface ya router kwa
Usisubiri iPhone 17 ya kwaida kwa kutegemea itakuwa na kamera kali kuliko iPhone 16.

Kwa sababu ripoti mpya zinaonyesha Apple haitaweka mfumo wa kamera ya tetraprism ambayo inawezesha 5x optical zoom kwenye kamera za iPhone katika iPhone 17 za kawaida.
πŸ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Kompyuta ni Nini? Sehemu Kuu na Vipengele vya Kompyuta
Je, unajua kompyuta ni nini? Katika video hii, tunajadili maana ya kompyuta, sehemu kuu za kompyuta, na vipengele muhimu vinavyounda kompyuta ya kawaida. Ni mwongozo bora kwa wanaoanza safari ya kuelewa misingi ya kompyuta.

⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

πŸŽ₯ Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! πŸŽ₯

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: πŸ”Ή Teknolojia
πŸ”Ή Afya
πŸ”Ή Mazingira
πŸ”Ή Sayansi
πŸ”Ή Motisha
...na mengine mengi ya kuvutia!
πŸ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Creating Coloring Pages with DALL-E3
Creating coloring pages with DALL-E3 is a fun and innovative way to bring your artistic ideas to life. In this video, we’ll take you through a step-by-step guide to using DALL-E3, OpenAI’s groundbreaking AI tool, to design intricate and customizable coloring pages. Whether you’re a beginner or a pro, DALL-E3 makes it easy to create stunning, professional-quality designs.

We’ll start by introducing DALL-E3’s interface and features, showcasing how you can use
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

how to make wireless camera transmitter? Make 500 Meter Range Wireless
how to make wireless camera transmitter Make 500 Meter Range Wireless
Get High-quality PCB Prototype at JLCPCB for Just $2! Sign up to Get $80 Coupons: 【 https://jlcpcb.com/?from=inventorKR 】
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr 】
Circuits diagrams and code here :【 https://ko-fi.com/inventorkr/shop 】
****************************
Channel Blog:【 https://inventorkr.blogspot.com/
Achaβœ‹ Kutumia VPN❌ gusa link moja katika hizoπŸ‘‡, kisha fuataπŸ‘£ maelekezo machache tu hapo chiniπŸ‘‡πŸ‘€

1. https://t.me/ProxyMTProto

2. https://t.me/TelMTProto

3. https://t.me/mtpro_xyz


unaweza kujiunga au uka contact poroxy tu na ukaacha kujiunga na channels hizo yote sawa tu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM