Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
tayari ukiludi mwanzo utaona amala hii👇
alama hiyo itajitokeza hapo

sasa baada ya kuwezesha proxy kwenye telegram yako haitahitaji tena kutumika VPN hii👇 au vpn yeyote tu uliyokuwa inaitumia
nenda ukaizime nautaona telegram yako ikiendelea kufanya kazi vizuri tu
lakini kama unatumia telegram x itakuwa hivi👆gusa hapo kuwezesha PROXY
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Sasa hivi app ya Google Map imeweka sehemu ya kubadili mwonekano wa chombo cha usafiri. Hivi sasa watumiaji wa Google Map wanaweza kuchagua mwonekano wa SUV, sedan, pickup n.k.

Pia Google Map imeweka sehemu ya kuchagua rangi ya gari.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi Ku-Mute na Kudhibiti Notifications za Group la WhatsApp
🔇 Karibu kwenye Video Yetu Mpya!

Katika video hii, utajifunza jinsi ku-mute group la WhatsApp kwa urahisi ili kuzuia usumbufu wa notifications nyingi. Ikiwa umechoka na simuko kubipu kila dakika, hii ni suluhisho bora kwako! 📱

👉 Tutakuonyesha:
Hatua rahisi za ku-mute group lolote la WhatsApp kwa muda unaotaka (siku 8, wiki, au hata milele). 🕒
Vidokezo vya kudhibiti notifications zako na kubaki na amani bila kupoteza mawasiliano muhi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung j810g jtag pinout
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Why I Always Do This In Python
This channel has grown big through the past couple of years, and one of the most frequent comments I get is: "why do you annotate everything in Python?". I've also been told that Python isn't Java (thank you so much I didn't realise they weren't the same). Anyway, in today's video I just wanted to share with you why I use type annotations everywhere!

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indent
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuweka Picha Kwenye | Xender Profile Application |
Itakurahisishia Kutofautisha Au kuifahamu kwa urahisi Xender ipi ambayo umewahi kushare files kwake pia kuleta mvuto wa kipekee
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Realme C21Y RMX3261/62/63 frp bypass
Realme C21Y RMX3261/62/63 frp bypass

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
🆕 Starlink Satellite Tanzania Limited imeomba leseni kutoka TCRA kwa huduma za miundombinu ya mtandao kitaifa na huduma za programu.

🗳️ Maoni kutoka kwa umma yanakaribishwa ndani ya siku 14!
👍1🔥1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hii ni zaidi ya Solution kubwa sana kwenye sehemu kama vile shule za msingi na baadhi ya taasisi za serikali ,inaitwa #ecofilter
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

MOST EXPENSIVE MISTAKES THAT GOT CAUGHT ON CAMERA
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com