Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
VPN & PROXY


Kwa sasa kuitumia telegram inahitaji uwe na app ya vpn au utumie proxy

sasa kwaleo nataka ujifunze kuseti proxy kwenye telegram yako hii itakusaidie kuacha kutumia VPN Kila unapotaka kutumia telegram.πŸ‘‡
1. pakua VPN Ya "Bitmask" ilikuweza kufungua website na apps zilizo ziwa kutumika na TCRA katika inchi yetu.

https://play.google.com/store/apps/details?id=se.leap.bitmaskclient
au kama una VPN Kwenye simu yako tumia hiyo hiyo siyo lazima iwe Bitmask au pakua vpn yeyote tu.

ukishaa maliza kupakua washa vpn yako au kama una vpn iwashe ila kama ndo umepakua na hujui kuiwezesha futa hatua hiziπŸ‘‡ kuiwezeshaπŸ‘‡
angalia Alama tuliyo weka na uguse hapo kuwezesha vpn app yako
tayari πŸ‘
baada ya kuwezesha nenda kwenye telegram yako kisha gusa link hiiπŸ‘‡
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
hiyo πŸ‘† ni hatu ya kwaza kwa wale amabo hawajawahi kabisa kutumia apps za VPN ila kwa wale wanao jua hana haja na hatua hiyoπŸ‘†πŸ‘£
sasa Wote twende tuka iwezeshe PROXYπŸ‘‡
Forwarded from Microsoft Copilot
Proxy ni huduma inayotumika kama kiunganishi kati ya kifaa chako na mtandao. Inafanya kazi kwa kupitisha maombi yako ya mtandao kupitia seva nyingine, ambayo inaweza kuficha anwani yako halisi ya IP na kutoa anwani mpya. Hii inaweza kusaidia kuboresha usalama na faragha yako mtandaoni.

Je, kuna jambo maalum unalotaka kujua kuhusu matumizi ya proxy?
Reference links: [1] [2] [3]
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
channel za proxy hapa telegram ziko nyingi saana ila mimi nakuchagulia hizi

1. https://t.me/ProxyMTProto

2. https://t.me/TelMTProto

3. https://t.me/mtpro_xyz


unaweza kujiunga au uka contact poroxy tu na ukaacha kujiunga na channels hizo yote sawa tu
πŸ”₯1
baada ya kufungua link hiyo utaona Server na Port
pamoja na button nyingi Sana hapo utachagua yeyote tuπŸ‘‡
gusa button yeyote tu hapo
kwa wale wanao tumia telegram x itakuwa inaoneka a hivyoπŸ‘†