Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Futa Taarifa zako zilizoibwa na App za mikopo kwa njia ya simu ya mkononi
Video hii itakueleza jinsi ya kufuta Taarifa zako zilizo hifadhiwa na app za mikopo
Mkopo kwa njia ya simu, app za mikopo

Je, una wasiwasi kuhusu taarifa zako binafsi zilizohifadhiwa kwenye app za mikopo? Katika video hii, tunakuonyesha jinsi ya kufuta data yako kutoka kwa app za mikopo zenye utapeli na kulinda faragha yako! Fuata hatua hizi muhimu kujua jinsi ya kudhibiti ruhusa za app, na hata kutumia zana za usalama il
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung A05 A055F imei repair /android 14 u1~u7
Samsung A05 A055F imei repair /android 14 u1~u7

how to root
https://youtu.be/LFG7dgQtc5s

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
T
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Block Loan Apps from accessing your info With This App.
Loan apps wont get your info,
Delete your data stored in fraudulent loan app

Are you using loan apps but worried about your personal data being accessed? In this video, we show you how to block loan apps from accessing your sensitive information while still being able to use them. Discover how the Shelter app can help you protect your privacy and secure your data with simple steps. Don’t let loan apps misuse your personal details –
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mpyaa Link Pesa: Je, Ni Halali au Ulaghai? Mapitio Kamili
review ya Platform ya kupiga pesa online
Jinsi ya kutengeneza pesa online

link:-
https://wa.me/+255682339972?text=Habari%0ANimetazama%20video%20yako%20YouTube%20kuhusu%20LINK%20PESA%20nigependa%20kufahamu%20zaidi%20kuhusu%20fursa%20hii

Je, unajiuliza kama Link Pesa ni jukwaa la kutengeneza pesa halali? Katika video hii, tunakuletea mapitio ya kina ya Link Pesa, tukijibu maswali muhimu kama: Je, unaweza kweli kufanya pesa? Ni salama kutu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
VPN & PROXY


Kwa sasa kuitumia telegram inahitaji uwe na app ya vpn au utumie proxy

sasa kwaleo nataka ujifunze kuseti proxy kwenye telegram yako hii itakusaidie kuacha kutumia VPN Kila unapotaka kutumia telegram.👇
1. pakua VPN Ya "Bitmask" ilikuweza kufungua website na apps zilizo ziwa kutumika na TCRA katika inchi yetu.

https://play.google.com/store/apps/details?id=se.leap.bitmaskclient
au kama una VPN Kwenye simu yako tumia hiyo hiyo siyo lazima iwe Bitmask au pakua vpn yeyote tu.

ukishaa maliza kupakua washa vpn yako au kama una vpn iwashe ila kama ndo umepakua na hujui kuiwezesha futa hatua hizi👇 kuiwezesha👇
angalia Alama tuliyo weka na uguse hapo kuwezesha vpn app yako
tayari 👍
baada ya kuwezesha nenda kwenye telegram yako kisha gusa link hii👇
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
hiyo 👆 ni hatu ya kwaza kwa wale amabo hawajawahi kabisa kutumia apps za VPN ila kwa wale wanao jua hana haja na hatua hiyo👆👣
sasa Wote twende tuka iwezeshe PROXY👇
Forwarded from Microsoft Copilot
Proxy ni huduma inayotumika kama kiunganishi kati ya kifaa chako na mtandao. Inafanya kazi kwa kupitisha maombi yako ya mtandao kupitia seva nyingine, ambayo inaweza kuficha anwani yako halisi ya IP na kutoa anwani mpya. Hii inaweza kusaidia kuboresha usalama na faragha yako mtandaoni.

Je, kuna jambo maalum unalotaka kujua kuhusu matumizi ya proxy?
Reference links: [1] [2] [3]