Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuweka | Biashara au Huduma | Kwenye Google Map
Kama unataka Biashara yako au Huduma unayo itoa Iyonekane na watu wengi ndani na Nje ya Nchi Njia Bora Ni kuiweka Kwenye Ramani yaani Google Map,Je unatamani kuweka Lakini hauwezi? Ondoa Shaka leo utaweza angalia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

NAMNA YA KUTAMBUA IPHONE FEKI, USIJE UKAUZIWA KAMA IPHONE ORIGINAL
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Redmi note 10 5g /RSA Solution
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make pcb at home with Laser xTool F1, DIY PCB Fabrication
The fastest way to make crisp PCBs at home! DIY PCB Fabrication?
how to make pcb board at home,
xTool F1: Fast Portable Laser Engraver with IR + Diode Laser
https://www.xtool.eu/?ref=iCmt-v_EymcOet&utm_medium=5307&utm_source=influencer
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【 https://ko-fi.com/inventorkr/shop
****************************
Channel B
🆕 Adobe imetangaza kuwa programu yake ya kuchora, Fresco, sasa inapatikana bure kwa watumiaji wote!

Hapo awali, vipengele vya malipo vilihitaji ada ya kila mwaka ya $9.99, lakini sasa vinapatikana bila gharama.

Fresco inapatikana kwenye iPad, iPhone, na Windows PCs.
🆕 Muonekano wa icon za apps kwenye Android 15 QPR1 Beta 3 umeboreshwa.

Katika Dark Mode, alama zimekuwa na mwanga zaidi, huku Light Mode zikitoa vivuli kidogo.

Huu ni mlinganisho wa Android 15 Beta 2 Vs Android 15 Beta 3 👇👇
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutumia Njia hii | Ku Restore au Ku Reset | Simu Nzima
Hii ni Video yenye njia ya pili inayokupa maelekezo ya Ku Restore au Ku Reset Simu yako ambayo ina changamoto Mbali Mbali na kuifanya isifanye kazi ipasavyo Jifunze njia hii pia.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Je ! Unajua Kwanini Neno Safe Mode Linajitokeza Kwenye Simu yako
Neno hili Linajitokeza Chini ya Simu yako Upande wa kushoto likiwa kwa ndani Je unafahu Lina maana gani na Kwanini linakuja katika simu yako, Sababu ni hizi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Poleni sana ndugu ,jamaa na marafiki ! Mungu yu pamoja nanyi Bado @asante_rabi_express_official tutaendelea kutoa huduma bora siku zote
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

THIS Will Make Your Colleagues Mad In Python
This will make your colleagues mad in Python.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

DON'T Buy a PC Without Watching This Video! youyeetoo X1
DON'T Buy a PC Without Watching This Video! youyeetoo X1
Here you can read more about youyeetoo X1 SBC:
official shop: https://www.youyeetoo.com/
Wiki: https://wiki.youyeetoo.com/en/x1

Discover the ultimate X86 mini PC that's taking the world by storm! With its compact size and powerful performance, this tiny computer is perfect for anyone looking to upgrade their digital experience. From streaming 4K content to running demanding applica
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Elon Musk Aleta usafiri wa AI bila Dereva, Robotaxi na Robovan
Magari ya ai

Katika video hii, tunazungumzia uvumbuzi wa ajabu kutoka kwa Elon Musk – Robotaxi na Robovan zinazoendeshwa na AI bila hitaji la dereva! Ukiwa na teknolojia hii, usafiri unabadilika kabisa na kuwa na urahisi usiowahi kushuhudiwa. Robotaxi inakuwezesha kusafiri ukiwa umelala, huku Robovan ikiwa suluhisho la usafiri wa kikundi na mizigo. Angalia ili kufahamu jinsi magari haya yanavyojenga mustakabali wa usafiri kupitia te
🆕 Apple imeanza kutoka mfumo wa majaribio wa iOS 18.2 kwa watumiaji wa iPhone 15 Pro mpaka iPhone 16.

Mfumo wa iOS 18.2 umeanza kuwa na mfumo wa Akili Bandia ya Apple Intelliegence - ili kuwa na uwezo wa kutengeneza emoji.