Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
‼️ Roboti za Optimus, kwenye “We, Robot” zikifanya kazi kama kutembea, kucheza, kuchanganya vinywaji, na kuzungumza na wageni.

🚨 Watu walidhani zinaendeshwa na AI ya Grok kutoka xAI ya Elon Musk, ripoti zinaonyesha kuwa roboti hizo ziliendeshwa kwa mbali na binadamu!
🆕 Google imeanza mpango wa kutumia micro-reactor za nuclear katika kuzalisha umeme wa data center zake.

Mpango huu upo katika mchakato wa kuanza mwaka 2030
📊 Nvidia imeendelea kupanda thamani yake kwenye soko la hisa, na imeweka rekodi mpya ya kufikia thamani ya $138 kwa hisa moja katika siku ya jana.

Hii ni kampuni ya kuhakikisha unamiliki hisa zake.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki Rahisi kwa Kutumia Microsoft Word - Hatua kwa Hatua!
Karibu kwenye tutorial yetu ya leo! 📄✉️ Je, unajua jinsi ya kuandika barua ya kirafiki kwa kutumia Microsoft Word? Kama bado, basi video hii ni kwa ajili yako! 😃

Katika video hii, tutaonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuandika barua ya kirafiki kwa urahisi kabisa.
Utajifunza:
📌 Aina za barua: Tofauti kati ya barua rasmi na barua ya kirafiki.
📌 Muundo wa barua ya kirafiki: Anuani, salamu, ujumbe, na hitimi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make simple dc motor speed control circuit, electronic projects, pwm how to build
Motor speed controller tutorial - PWM how to build
Electric motor speed controller. In this video we learn how to design a simple PWM speed controller for a DC motor learning how current flows in the circuit and what each component does. You can even build the circuit yourself!
****************************
Owon XDM1241 Mini Desktop Digital Multimeter 55,000 Counts High Accuracy True RMS Universal Meter with
🚨 Unakuta umekaa zako kimya, upo busy na mishe zako, anatokea mtu pembeni anaangaalia video mitandaoni kwa sauti kubwa na kuondoa ukimya kwenye eneo.

Tabia hii kiukweli inakuwa sio poa kabisa. Watu wanatakiwa kujifunza kuangalia mitandao kwa ukimya bila kusumbua watu wengine.
🆕 Mwonekano wa simu mpya ya Oppo Find X8
🆕 Mwonekano wa simu mpya ya Oppo Find X8 Pro https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1846505086664557029#m
👍1
🆕 Mwonekano mpya earbuds mpya za Oppo Enco X3
🔥1
🆕 Prada na Axiom Space wamezindua mavazi mapya ya anga kwa misheni ya NASA ya Artemis 3, yakionyesha ushirikiano wa kipekee kati ya teknolojia na mitindo ya kifahari.

🚀 Mavazi haya yatatumika katika safari ya kwenda kwenye Mwezi 🌘 mwaka 2026.