Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kujua Kama Kuna mtu AmekuDivert na Jinsi ya Kujitoa
Inapo tokea unawasiwasi na kuhisi huenda Kuna mtu anakufanyia ujanja kwenye Simu yako ili kugundua Hilo basi fanya haya Mambo kujihakikishia Kama ni kweli au sio kwe, ikiwa ni kweli utajifunza Jinsi ya kujitoa
Sasa hivi watumiaji wengi wa WhatsApp wameanza kupata sehemu ya ku-like Status za marafiki katika WhatsApp.

Mabadiliko haya yalianza mwezi wa nane kama sehemu ya majaribio. Hivi sasa kuna watumiaji wengi wanaipata sehemu hii.
👍1
🆕 Microsoft Office 2024 tayari imeanza kupatikana kwa watumiaji wa Macs.

🔘 Imeanza kwa gharama ya TZS 407,000
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
YouTube itaanza kuruhusu Shorts zenye urefu wa dakika 3 kuanzia tarehe 15 Oktoba – imeelezwa na Todd Sherman, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Bidhaa, YouTube Shorts.

Pia video zenye uwiano wa kipengele cha mraba 1:1 na video zenye urefu zote zitachukuliwa kama Shorts.

#YouTubeShorts
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hiki Kitatokea Kama Hauja Upload Video YouTube kwa Muda Mrefu?
YouTube pia ni platform ya kibiashara ambayo inategemea wewe ambae umekubali kujiungana nao ili mfanye kazi kwa pamoja ikitokea wewe haujaweka video yoyote kwenye mtandao huo kwa kipindi kirefu hiki ndicho kitakacho kwenda kutokea

Subscribe BIG TALENT TZ YouTube

Facebook as Salum Suleimani

Instagram as Salu.White

Tiktok as Salu.White

WhatsApp link on YouTube Description

Email address. salumnauma4@gmail.com

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

make a simple FM radio , receives all radio stations, With making PCB board at home
FM receives can be complicated to build, that's why I'm teaching you how to make a foolproof FM receives. There's no need to buy kits, this tutorial includes the PCB layout and the schematics.
I will teach you step by step how to make a radio to receive international radio stations, with simple electronic components, it can be an electronic project or a university graduation project, this radio does not need much

StrEnum & IntEnum: New Enum Types In Python?
In today’s video we’re going to be learning about both IntEnum and StrEnum in Python! Are they new types of enums? Let’s find out in this video.

00:00 Learning Python made simple
00:05 Intro
00:36 IntEnum
02:53 StrEnum
07:51 Conclusion

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

V 7.5A Rechargeable Battery charger Circuit || 12 volt battery charger diagram #batterycharger
12V 7.5A Rechargeable Battery charger Circuit || 12 volt battery charger diagram

12v 10 amp battery charger circuit diagram
12 volt charger diagram
12V 150Ah battery charger circuit diagram
12 volt battery charger diagram
12 volt automatic battery charger circuit diagram
12V 5A battery charger circuit diagram

12V Battery Charger Circuits [using LM317, LM338, L200
12v Battery Charger Circuit Diagram u

Jinsi ya kutengeneza MUZIKI kwa AI kwa Sekunde chache!
Tengeneza muziki kwa Ai kirahisi kama hivi

Bofya link hapa:-
https://www.udio.com/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SKILLFUL EXCAVATOR OPERATORS YOU SHOULD SEE
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
🆕 Kuanzia 15 Oktoba 2024, muda wa YouTube Shorts utaongezwa hadi dakika 3!

Pia, kipengele kipya cha remix kitawawezesha watumiaji kutumia vipande vya video mbalimbali na Shorts Trends itaonyesha yaliyovuma
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Muhtasari wa kile Tulichojifunza katika Git na Github hadi kufika Hapa
Katika video hii, tunaangalia kwa ufupi yale tuliyojifunza hadi sasa kuhusu Git na GitHub. Hii ni video ya 22 kwenye mfululizo wetu wa mafunzo, ikikupa muhtasari wa hatua muhimu tulizopitia, kama vile kufanya commits, kutumia branches, na kushirikisha miradi kwenye GitHub. Kama umekuwa ukifuatilia mfululizo huu, hii itakuwa njia bora ya kukumbusha yale uliyojifunza kabla ya kuendelea na sehemu zinazofuata!