Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kujua Kama Kompyuta Yako Ni 32-bit au 64-bit | Mwongozo Rahisi Hatua kwa Hatu
Jinsi ya Kuthibitisha Kama Kompyuta Yako Ni 32-bit au 64-bit

Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuangalia kama kompyuta yako inatumia mfumo wa 32-bit au 64-bit. Hii ni muhimu sana unapotaka kupakua programu au kufanya usakinishaji wowote, ili uhakikishe unatumia toleo sahihi.

Hatua unazotakiwa kufuata:

👉Fungua "System Properties" kwenye kompyuta yako.
👉Tafuta sehemu inayoonyesha "Sys
👍1
🆕 Telegram itakuwa inakabidhi IP na namba za simu kwa Polisi na wapelelezi endapo kama zitahitajika na mamlaka.

- Pia imeondoa sehemu ya “People Nearby”

- Imeweka limit ya kutafuta vitu haramu kwenye sehemu ya search
🚨 iOS 18 inasemekana kupunguza kasi ya Refresh Rate ya iPhone kuishia 80Hz.

Imeonekana ni mara chache sana skrini kufikia 120Hz wakati wa ku-scroll.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

power bank Simple and powerful, Charmast C10
Kickstarter link: https://kck.st/3XNd2VX
Product model: charmast C10 Power Bank
@charmast

****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【https://ko-fi.com/inventorkr/shop】
****************************
JLCPCB 1-8 Layer PCB at $2 - 【 https://jlcpcb.com/?from=inventorKR
Sign Up Here to Get $60 New User Coupons
****************************
Altium 365 here : 【 https://www.al
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

AI Codes a Game in SECONDS?
Say hello to OpenAI o1—a new series of AI models designed to spend more time thinking before they respond. This new series of AI models can reason through complex tasks and solve harder problems than previous models in science, coding, and math. More here: www.openai.com/o1
MKBHD amechukua tu app ya wallpapers ya zamani iliyoanzishwa 2021, akaweka jina lake juu na kuitangaza upya.

Anachukua kamisheni ya 50% kwenye mauzo ya wallpapers kutoka kwa wasanii, na inakusanya taarifa binafsi za watumiaji kwa matangazo.

Watu wengi wameponda app yake. https://twitter.com/MKBHD/status/1838359406976590101#m
🆕 Spotify imeanza kuweka Playlists ambazo zimetengenezwa na Akili Bandia
🆕 Apple imeweka njia mpya ya "Drag & Drop" katika iPhone Mirroring katika mfumo wa iOS 18.1 na macOS 15.1
Tupate motivation kidogo 🔥
🆕 Apple imebadili icon ya Apple Watch katika mifumo mipya.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Sababu za Google kukutumia ujumbe huu Mtandaoni
Hizi ndizo sababu na Nini ufanye pindi message hiyo itakapo jitokeza ukiwa kwenye Website ya Google, nimeshare ili ujue kua baadhi ya mitandao inatumia njia hizi

Subscribe BIG TALENT TZ YouTube

Facebook as Salum Suleimani

Instagram as Salu.White

Tiktok as Salu.White

WhatsApp link on YouTube Description

Email address. salumnauma4@gmail.com

...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung A22 a225f android 13 frp bypass
Samsung A22 a225f android 13 frp bypass
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
📊 X/Twitter imetoa ripoti yake ya kwanza tangu Elon kuanza kuwa mmiliki wake
Tanzania Tech
Vodacom Yazindua Huduma za Matengezo ya Simu


Kupitia Ukurasa wa Instagram Vodacom Imejulisha Wateja wake kuwa "Tumezindua huduma ya matengenezo ya simu bureee hapa duka letu la Mlimani City na maduka mengine 10 katika mikoa mengine ya Tanzania, kwa wateja ambao simu zao zina warranty. Huduma hii imewezeshwa kwa ushirikiano kati yetu na makampuni mengine 6 makubwa (Tele 1, Samsung, Vivo, Tel, Oppo, & Motorola), ambayo itawezesha wateja wetu kukutana na wataalamu watakaotambua na kutatua changamoto mbali mbali za simu zao."

Tembelea maduka ya Vodacom upate huduma bora kwa mahitaji yako ya simu.

Soma zaidi Kupitia https://tanzaniatech.one/sw
Meta imefanikiwa kuinunua domain ya threads.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kuweka | Private Instagram Account |
Labda unataka unacho kipost kisimfikie kila mtu lakini haujafahamu jinsi ya ya kuweka Private Account yako hiyo ya Instagram leo nakufundisha, anaweza kuweka Private na ukatoa pale unapo hitaji mwenye

Subscribe BIG TALENT TZ YouTube

Facebook as Salum Suleimani

Instagram as Salu.White

Tiktok as Salu.White

WhatsApp link on YouTube Description

Email address. salumnauma4@gmail.com

...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

I’m doing another Python course giveaway
Hello everyone! In today’s video I’m doing another Python course giveaway :)
Apply for a Python free course: http://apply.indently.io
Join the WhatsApp channel: https://whatsapp.com/channel/0029VaDQmhHEawdqqgkHim01

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels