Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

#NK| Tazama Software zilizotengenezwa na WANANK
7+ Years of Experience.
Kujiunga na masomo ya kulipia : https://forms.gle/pLEBEPuZgsoPLew7A
===

Hapa ni ulimwengu wa Teknohama (IT (Information Technology)) karibu ujifunze nasi Computer kutokea zeero mpaka kuwa More Than Professional.
-----------

#NK| Tazama Software zilizotengenezwa na WANANK

-----
- Channel yetu mpya ya Shorts: https://www.youtube.com/channel/UCifYOx_oQuq9__OnyUE4K9A
- NK on TIKTOK : https://www.tiktok.com/@nk_tok1?lang=en
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Learn How to Factory Reset ATOUCH X19 PRO Tablet
Learn how to factory reset atouch x19 pro tablet without,

For Download Links and Tools Visit:
https://albastuz3d.net
https://albastuz3d.com
For Questions And Remote Support Inbox Us On:
https://wa.link/1b89wd
http://Albastuz3d.com/whatsappgroup
http://Albastuz3d.com/
🆕 Kwa mara ya kwanza iPhone Pro zitaanza kutengenezwa nchini India.

🇮🇳 iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max zitakuwa model za kwanza kuanza kutengenezwa India.
🆕 Google imeanzisha mfumo wa RCS katika simu ambazo zina SIM card zaidi ya moja.

📲 Tayari mabadiliko haya yameanza rasmi na watumiaji wa Pixel na Nothing Phone 2 wameanza kupata uwezo wa kuunganisha mfumo wa RCS kwenye namba zote.
🆕 Apple imerudia mfumo mpya wa iOS 17.6.1 ili kurekebisha tatizo la mfumo wa Advanced Data Protection.

Toleo jipya linatumia build number ya 21G101 badala ya 21G93. Mabadiliko mapya yanaboresha na kuondoa tatizo la kushindwa kuwasha sehemu ya Advanced Data Protection.
🆕 Apple imeachia mfumo wake wa Apple Podcast kwenye web (tovuti).

Sasa hivi sio lazima kuwa na kifaa cha Apple ili kupata mfumo wa Apple Podcast.
🆕 Modem mpya ya Apple ya 5G itakuwa na mfumo mpya ambao utabadilisha design na mfumo wa iPhones.

Modem ya Apple itaunganisha Bluetooth, Modem ya mawasiliano na WiFi kuwa katika chip na mfumo mmoja. Itasaidia kutunza betri, kuongeza speed na gharama nafuu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Nokia 2 3 Factory Data Reset Unlock Tool Free!!
actory Reset Nokia 2.3 TA-1206, TA-1211, TA-1214, Remove Pin, Pattern, Password lock.

For Download Links and Tools Visit:
https://albastuz3d.net
https://albastuz3d.com
For Questions And Remote Support Inbox Us On:
https://wa.link/1b89wd
http://Albastuz3d.com/whatsappgroup
http://Albastuz3d.com/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 11 frp bypass without pc
Xiaomi redmi note 11 frp bypass without pc
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
🆕 Apple imetoa mfumo mpya wa headphones za Beat Studio Pro.

🔘 Mfumo mpya unawezesha watumiaji ku-share audio ambayo wanasikiliza kwenye iPhone na iPad.

🔘 Kwa watumiaji wa Android wanaweza kutumia app ya Beats kupata update hii
🆕 Simu ya Galaxy S15 Ultra itakuwa na kioo kikubwa zaidi ya S24 Ultra.
M P A N G I L I O