Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

tengeneza simu zote zinazo zima kisa flash file
πŸ†• Apple imebadilisha kidogo mwonekano wa sehemu ya Settings katika simu za iPhone.

iOS18 itakuwa na sehemu mpya upande wa juu katika sehemu za Settings. Sehemu hii itakuwa inaelezea taarifa za Settings kwa ufupi.

Itakwepo katika iPhone, iPad na pia ipo kwenye macOS.
πŸ’‘ β€˜Digital Influencers’ wajifunze kutumia AI katika kurekebisha makosa madogo madogo ya uandishi kwenye Bio na Posts!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi Ya Kuondoa Mgawanyiko Wa Diski How To Remove Disk Partition Expand Disk Volume
Remove disk partition
Expand disk volume
Disk management
Maujanja
FAHAMU JINSI YA KUFANYA PARTITION KWENYE VIDEO HII ELEKEZI https://youtu.be/GSh7XFJUe50
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

47. Jifunze Zaidi Kuhusu 'NOT' Operators - Python Course Kwa Wanaoanza Kujifunza.
Katika video hii, tutajifunza kuhusu "The 'not' Operator" na jinsi ya kuutumia katika Python. Utagundua jinsi ya kutumia 'not' operator ili kubadilisha hali ya conditions na kufanya maamuzi yenye mantiki zaidi ndani ya programu zako. Tutapitia mifano ya kina na maelezo ya hatua kwa hatua ili kuhakikisha unaelewa vyema jinsi ya kutumia 'not' operator katika program yako ya Python.

Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe ili usipitwe na vipindi vijavyo!

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Karibu katika channel yangu!

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na ninafuraha kuwa nawe hapa.

Kwenye channel yangu, utapata video za kuvutia kuhusu mambo mengi, ikiwa ni pamoja na teknolojia, afya, mazingira, sayansi, motisha, na mengi zaidi.

Ninaamini kwamba kila mtu ana uwezo wa kujifunza na kukua, na ninatumai video zangu zitakusaidia kufikia malengo yako.

Ili kupata taarifa mpya za video zangu, tafadhali:
πŸ‘‰...
πŸ”΄ Hatimaye app ya Twitter imeondolewa katika App Store ya Macs.

- App hii ilikuwa bado inapatikana kwenye Macs, ilikuwa inatumia jina na logo ya Twitter. Bado haifahamiki rasmi ni kwanini bado ilikuwa inaendelea kupatikana hata baada ya Twitter kubadilika na kuwa X
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya Kubadilisha Maandishi Kuendana na Mtazamo Kwenye Picha | Perspective Text in Photoshop
Katika video hii, nitakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kubadilisha maandishi ili yaendane na mtazamo wa picha. Ujuzi huu ni muhimu sana kwa wale wanaotaka kuboresha ubunifu wao katika kubadilisha picha na kufanya kazi za kitaalam kama vile matangazo, michoro, na project nyengine za ubunifu.

Utaweza Kujifunza:
πŸ“Jinsi ya kuchagua zana sahihi za kubadilisha maandishi.
πŸ“Mbinu za kuhakikisha maandishi yanaendana kikamilifu na mtazamo wa picha.
πŸ“Vidokezo vya kitaalam vya kufanya maandishi yako yaonekane ya kweli zaidi.

Kwa Nini Uangalie Video Hii?
🀝Rahisi kufuata na kuelewa, hata kama wewe ni mgeni kwenye uhariri wa picha (Graphic Design).
🀝Mafunzo ya hatua kwa hatua na mifano ya vitendo.
🀝Tunatumia programu zinazopatikana kwa urahisi na zenye nguvu kama Adobe Photoshop.

Je, unataka kufanya maandishi yako yaonekane kama yamekuwa sehemu ya picha halisi? Video hii ni kwa ajili...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Perfect Electronics Workshop See how I built it, and you can build one too!
In this video I will show you my new workshop. I want to share with you how exactly I did it so that you might get inspired to improve your own lab/workshop
Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for more informative videos like this.
Standing desk for home office
FlexiSpot 8th anniversary sale with up to 50% discount:【 https://bit.ly/4frVkhr 】
My E7 desk from FlexiSpot : 【 https://bit.ly/4fvCXYX 】
****************************
Bambu Lab A1 3D Printer :【 http://shrsl.com/2loym-2yn7-1cwx9 】
****************************
the introduction 0:00
Unboxing the E7 desk from FlexiSpot 0:06
installation E7 desk 0:11
a test E7 1:16
Shelf installation 1:35
About FlexiSpot and Bambu Lab 1:46
Unboxing the A1 3D Printer from Bambu Lab 2:01
installation Bambu Lab A1 2:15
Bambu Lab A1 Settings 3:05
printer filament 3:29
Print the first model 4:11
3D Models website 4:52
writing on the...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Tecno S1 Hard Reset Security Lock Password,Pin or Pattern Without PC
How To Unlock A Forgotten Tecno Pattern, pin, password Without Losing Files.

For Download Links and Tools Visit:
https://albastuz3d.net
https://albastuz3d.com
For Questions And Remote Support Inbox Us On:
https://wa.link/1b89wd
http://Albastuz3d.com/whatsappgroup
http://Albastuz3d.com/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Tecno S1 Frp Remove Google Account Download Unlock Tool One Click Away!!!
TECNO S1 Frp Bypass βœ… Frp Remove With One Click New.

For Download Links and Tools Visit:
https://albastuz3d.net
https://albastuz3d.com
For Questions And Remote Support Inbox Us On:
https://wa.link/1b89wd
http://Albastuz3d.com/whatsappgroup
http://Albastuz3d.com/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

INGENIOUS CONSTRUCTION WORKERS OF ANOTHER LEVEL
https://www.youtube.com/watch?v=e9-SXlMGw3c

https://www.tiktok.com/@ozcan_dekorasyon/video/7015583362542734594

For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
πŸ†• Apple imeongeza sehemu mpya ya "Edit Pages" katika settings za Home Screen
πŸ†• Apple imeweka uhuru wa kubadilisha upande wa Carousel za Photos na itakuwa ni rahisi na shortcut rahisi ku-swipe katika kufungua folders za Photos
πŸ†• Apple imetoa mfumo mpya wa majaribio wa iOS 18 Beta toleo la 5
πŸ†• Apple imebadili mwonekano wa baadhi ya icons za Control Center katika iOS 18 Beta 5 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1820844017795412108#m
πŸ†• Apple imeboresha tena mwonekano wa icons zake katika Dark Mode
πŸ†• Google imeweka mfumo wa Lens na Gemini AI katika browser yake ya Chrome.

- Itakuwa ni rahisi kutafuta vitu unavyoona mtandaoni kwa kutumia Google Lens na kutumia AI katika kuperuzi mfano kuona summary za tovuti.
πŸ†• Safari itakuwa na mfumo wa kuondoa matangazo na taarifa ambazo hazina umuhimu kwenye tovuti.

Hii ni feature ya msingi sana na itasaidia sana katika kuperuzi mtandaoni