Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Rolls-Royce imepokea ufadhili wa ziada wa dola milioni 6.2 za Marekani kutoka kwa Shirika la Anga la Uingereza (UKSA) ili kuendeleza teknolojia muhimu kwa ajili ya mtambo mdogo wa nyuklia ambao unaweza kutumika kutoa nishati kwa vituo vya mwezi na uendeshaji wa vyombo vya anga
🆕 Icon ya Stocks imefanyiwa mabadiliko kidogo
Samsung ina-copy Apple wazi wazi bila wasiwasi! https://twitter.com/mngwema_tz/status/1816036076923789428#m
🆕 Apple imeongeza sehemu mpya ya 'Type to Siri' katika sehemu ya AssistiveTouch
🆕 icon zinaweza kujibadilisha na kuwa na rangi nyeusi muda wa kubadilika Dark Mode mfano usiku - ukichagua Automatic.
📊 Faida, mauzo na matumizi ya kampuni ya Alphabet (Google, YouTube) kwa robo ya pili ya mwaka huu (Q2 2024)
🆕 Sasa unaweza kubali ukubwa wa windows ya simu kwenye iPhone Mirroring
📊 Faida, mauzo na matumizi ya kampuni ya Tesla kwa robo ya pili ya mwaka huu (Q2 2024)
🆕 Apple itafanya mabadiliko makubwa ndani ya simu zake mpya za iPhone 16 kuthibiti joto na kusaidia simu zisipate sana joto.

- Apple itaongeza ukubwa wa graphite sheet ndani ya iPhone kukabiliana na tatizo la simu kupata sana joto
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INCREDIBLE FARMS THAT WILL SHOCK YOU
Mind Warehouse ►

1) Interstellar Lab BioPod


2) Meteor Systems Hydroponic F
🆕 Meta Platforms Inc. imetoa mfumo wake mpya wa akili bandia wa Llama 3.1

🔘 Mark Zuckerberg amesema mfumo huo una nguvu sawa na OpenAI na Google Gemini

🔘 Kitu kikubwa ambacho Mark atashinda AI nyingine ni kuifanya AI yake kuwa open-source!
🆕 Apple Intelligence itakuwa na uwezo wa kutengeneza Covers na Playlists kwa kutumia Akili Bandia kwenye Apple Music
Watabe bado wanaishi humu tu, maisha ni simple
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tofauti ya "Circle to Search" VS "Google Lens" / Z Fold / Flip 6
#galaxyai #fold6 #flip6
#Tofauti ya "Circle to Search" VS "Google Lens" / Z Fold / Flip 6
🆕 Proton imezindua Wallet ya Crypto
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

@abstractmethod explained in Python
In this video I'm going to be showing you how you can use @abstractmethod in Python!
🆕 Apple imeanza kuweka Apple Map kwenye mfumo wa tovuti ili kushindana na Google Map.

🔘 Itakuwa sio kazima kuwa na kifaa cha Apple ili kitumia Apple Map.