Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Kenya ilitarajia kuona watengeneza maudhui wake wa Facebook na Instagram wakianza kulipwa mwezi huu Julai lakini kutokana na yanayoendelea, Meta imesitisha uzinduzi huo.

"Tunakumbuka kuwa huu ni wakati nyeti nchini na kwa heshima tumesitisha uzinduzi kwa muda." - Moon Baz
🆕 App mpya ya Microsoft Design sasa imeanza kupatikana kwenye iOS na Android

🔘 App hii inatumia akili bandia katika kurahisisha kazi za kiubunifu. Mwanzo ilikwepo kwenye Web na kompyuta tu.
⌚️ Saa mpya ya Xiaomi Watch S4 Sport imetambulishwa rasmi.

🔘 Ina kioo cha AMOLED, ukubwa wa 1.43″, Titanium Body + Sapphire crystal glass na inatumia eSIM na mfumo wa HyperOS
Simple kabisa 🖥️
🆕 Instagram imeweka sehemu ya Notes katika Posts na Reels; Sasa watumiaji watakuwa na uwezo wa kuandika Notes kwenye Reels na Posts.

🔘 Notes zitakuwa zinafutika baada ya siku 3 na zinaonekana kwa marafiki wa karibu tu. Ni style mpya ya comments ambazo zinaonekana kwa urahisi.
🕰️ Hii ilikuwa tarehe 6th May 1968 - Toshiba Model 500 ya kupiga video call ilikuwa inafanyiwa majaribio nchini Japan
🆕 Galaxy Tab S10 Plus zitakuwa na chip mpya ya MediaTek Dimensity 9300+
Hapa MKBHD ameonyesha ubaguzi waziwazi kwenye kampuni ya Kichina!

Ingekuwa Apple au Samsung au Google imefanya hivyo asingesema ni trend ya ajabu! https://twitter.com/MKBHD/status/1814662905326969140#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

@staticmethod explained in Python
In this video I'm going to be teaching you how to use @staticmethod in Python!

Beco
🆕 Google itaweka mfumo wa kuweka kikomo cha kuchaji hadi 80% katika mfumo wa Android 15 ili kusaidia kutunza maisha ya betri kwenye simu za Android.
🆕 Google imeonyesha mwonekano mpya wa simu mpya ya Google Pixel 9 Pro Fold