Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Why can we provide lighting by plugging water bottles on the roof? Simple light bulbs that don’t consume electricity viral
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

#NK| Global Tech Outage NI HACKERS AU MICROSOFT ?
#NK| Global Tech Outage NI HACKERS AU MICROSOFT ?
-----------

-----
-
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Live demo of GPT-4o vision capabilities
This was a live demo from our OpenAI Spring Update event.
Software ambayo imetumika na FBI kuingia katika simu ya kijana aliyetaka kumuua Trump inaitwa - Cellebrite

Software hiyo inatumika duniani kufungua simu, na vifaa ili kusaidia shughuli za upelelezi.
Cellebrite haiwezi kuingia na kufungua simu za iPhone ambazo zinatumia mfumo wa iOS 17.4 na kuendelea.

Kwa watumiaji wa Android inaweza kuingia katika simu nyingi sana za Android bila tatizo. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1814297632820335001#m
🆕 AMD inasema chip zake mpya za laptop zinaweza kushinda chip za Apple Silicon — lakini bado haijathibitisha.
🎮 Ratiba ya shindano wa EVO 2024
🎮 Shindano kubwa duniani la kupigana kwenye video-game litafanyika July 19.

🔘 Zaidi ya washiriki 10,000 watashindana.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS INVENTIONS EVERY HOMEOWNER WOULD LIKE TO HAVE
1) Chefee Robotics



2) Mist360 Cyclone





+
2.1) Co
Kenya ilitarajia kuona watengeneza maudhui wake wa Facebook na Instagram wakianza kulipwa mwezi huu Julai lakini kutokana na yanayoendelea, Meta imesitisha uzinduzi huo.

"Tunakumbuka kuwa huu ni wakati nyeti nchini na kwa heshima tumesitisha uzinduzi kwa muda." - Moon Baz
🆕 App mpya ya Microsoft Design sasa imeanza kupatikana kwenye iOS na Android

🔘 App hii inatumia akili bandia katika kurahisisha kazi za kiubunifu. Mwanzo ilikwepo kwenye Web na kompyuta tu.