Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The Collapse of World Trade Center | Solving All the Mysteries
This is an extended video of our original World trade cen
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS TOOLS THAT ARE ON ANOTHER LEVEL
1) Laserliner DigiLevel Laser G40


2) Bosch PFS 7000


3) EGO POWER+ Nexu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

ChatGPT wows again 🤩
Just discovered on ChatGPT plus you can chat with the voice feature while generating images. #chatgptprompts #chatgpttutorial #chatgpt4 #chatgpttips #aifashiondesign #openai
Kuna muda mtu unaamua tu kujiongeza na kutumia teknolojia unavyotaka. Sumaku ya kuchaji vifaa vya kielektroniki inaweza pia kusaidia kazi mbalimbali...!
🆕 WhatsApp itaweka sehemu mpya ya ku-pin na kuona options za Channels kwa ku-swipe
🆕 WhatsApp itaweka mfumo wa kutafsiri messages kwenye chats. Mfumo huu utakuwa na uwezo wa kutafsiri ujumbe kwenda kwenye lugha ambayo utaichagua wewe.
🆕 iPhone zote za mwaka huu zitakuwa na button mpya ya 'Capture Button' ambayo itatumika kupiga picha na kurekodi video.

🔘 Button hii itakuwa "touch sensitive" kwa matumizi ya kuswipe kulia na kushoto, na kuigusa bila kuibonyeza kwa matumizi ya kuweka focus vizuri.
Mwonekano wa mfano wake 👇🏽
Hii sio Android, ni iOS 18 Beta 3 ikiwa inatumia 'customised icons' ambazo zinafanana na mfumo wa visionOS.
🆕 Akili Bandia ya Galaxy AI inaweza kuongeza vizuri taarifa za picha katika mfumo wa kuongeza sehemu za picha ukiongeza kona za picha.

🔘 Inaweza kuongeza details vizuri katika picha na kujaza sehemu ambayo umeongeza wakati wa ku-crop.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hivi ndivyo wanavyopambana na joto nchini China. Wanaweka mizinga ya maji kwenye majengo marefu, ambayo hupiga miale yenye nguvu ya maji ya baridi na kupunguza kidogo joto la hewa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Event ya “Made by Google 2024” inatarajiwa kufanyika tarehe 13 Agosti saa 10:00 asubuhi kwa saa za California Marekani.

🗓️ Itakuwa saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung a30s a307fn u4 latest security frp bypass by testpoint
Samsung a30s a307fn u4 latest security frp bypass by testpoint
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
#a30s #frp #frpbypass #samsung #chimeratool #testpoint #unlock #a307fn #mobilerepairing #mobile