Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.66K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
📹 Video ambayo inaonyesha sayari ya Mars kwa sauti halisia kutoka katika chombo cha gari la utafiti - Perseverance.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Figma kupitia #Config2024 imezindua (kiolesura) muonekano wake mpya uitwao UI3 na Figma AI.

Figma AI itawezesha watumiaji kutengeneza miundo, mifano, kupanga na kubadili safu mbalimbali, pia maboresho mengi yameongezeka ikiwemo kurasa za FigJam nk.

#Figma #FigmaAI
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
1) Venetian Glass Bricks


2) Lixel X1


3) Amaco


4)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Golf Tech is Hidden in Plain Sight!
The dope tech hidden at a golf tournament is actually inedible.

MKBHD Merch:

Intr
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 Essential Tips & Tricks in Python
How's it going everyone? Today we're going to be going over 20 everyday tips and tr
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Integrate an action into your GPT
Unlock the full potential of your AI with our exclusive guide on how to integrate an action into your GPT. In this video, we reveal secret tips that will transform your workflow and boost productivity. Whether you’re a beginner or an experienced user, our step-by-step instructions make it easy to enhance your GPT’s functionality. From basic setups to advanced integrations, you’ll learn everything you need to maximize efficiency. Don’t miss out on these insider techniques—watch now and take your AI skills to the next level!

Integrate an action into your GPT

#GPT
🛰️ Starlink imeanza kupatikana Madagascar 🇲🇬 https://twitter.com/Starlink/status/1806406583452332471#m
🪪 Chris Espinosa ndiye mfanyakazi ambaye amedumu kwa muda mrefu zaidi kwenye kampuni ya Apple.

🗓️ Alijiunga mwaka 1976 akiwa na umri wa miaka 14, akiandika mfumo wa BASIC wakati kampuni ilikuwa bado kwenye karakana ya Steve Jobs.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 HOME SECURITY GADGETS AND INVENTIONS YOU SHOULD SEE
1) Keyguard Digital XL


2) Deep Sentinel


3) APS Micr
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung t505n emmc bga254 #shorts
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
#mobilerepairing #emmc #samsung #poweric #qualcomm #snapdragon #cpu #brokenpads #blackglue #easyjtagplus #isp #jtag #electronic #soldering #sircuit
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

AUTONOMOUS MOBILE HOMES YOU CAN LIVE IN FOR YEARS
Mind Warehouse ►

1) ETONG


2) PlainsCraft Covered Wagons
Podikasti za video zinaona ukuaji mkubwa duniani kote. Kupitia utafiti mpya kuhusu mitindo ya podikasti hasa kutoka Spotify unaonyesha podikasti za video zinaongezeka.

Kumekuwa na ongezeko la aslimia +39% juu ya wastani wa kila siku katika podikasti za video.
Meta imeanzisha mpango wa kulipa waundaji wa maudhui nchini Nigeria na Ghana kupitia Facebook na Instagram.

Watumiaji wataanza kulipwa kupitia matangazo ndani ya video, profile scrolling, gifts, bonus, na matangazo kwenye Reels. Hatua nzuri kwa waundaji wa maudhui barani Afrika.