Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🔘 Widget ya Podcast imeboreshwa, itakuwa inabadilika rangi kuendana na cover ya Podcast.
🔘 Apple imeweka mode maalum ambayo utaiwasha kwenye simu endapo utaiwasha (utaiweka ON) kama utampatia fundi simu yako. Sehemu hii inaitwa “Repair State”. Hii itasaidia usalama wa simu endapo kama utaiacha kwa fundi.
🔘 Watumiaji wa Ulaya sasa wanaweza kuweka app kupitia website za apps na sio lazima kutumia App Store.
🔘 Mfumo wa Find My utakuwa na uwezo wa kuona trackers za Android. Apple na Google zimeshirikiana kutengeneza mfumo wa pamoja wa trackers ambazo zinasaidia kutrack vitu, gari, vifaa n.k.
Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 17.5 kwa watumiaji wote wa iPhone ambazo zinatumia mfumo mpya wa iOS 17.
🔘 Apple imeboresha usalama wa AppleAVD, AppleMobileFileIntegrity, AVEVideoEncover, Find My, Kerney ya iPhone, Libsystem, Maps, MarketplaceKit, RemoteViewServices, Sync Services, WebKit na mfumo wa Screenshots.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to clean type c charging port #shorts
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
#chargingport #typec #mobilerepairing #soldering #sircuit #tipsandtricks #samsung #poweric
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia


JINSI YA KUCOMPLITISHA VIOO NA GRASSTACHI BILA MASHINE NA BILA KUWEKA BULBOS
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 EXTREME INVENTIONS THAT WILL SURPRISE YOU
Mind Warehouse ►

1) Shotover Jet





2) iFLY






3) Shark
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

surprising !!! Mini Bitcoin Miner, 500g/s Hashrate Lucky Miner LV06
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kama Google Chrome Yako ni Nzito Fanya Hivi!
#snashtz #webbrowser #googlechrome
Kama Google Chrome Yako ni Nzito Fanya Hivi!
Siku nyingine ya kupambana na kujituma 🦾⌨️
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Simu mpya ya Sony Xperia 1 VI